Magamba Nyantare Social Hal! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magamba Nyantare Social Hal!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiresua, Jan 28, 2012.

 1. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Wanajamvi, nimepita hapa Nyantare Social Hall Tabata bima, magamba wamesheni, sikuelewa mara moja mkutano unahusu nini! Kuna mwenye kujua ni nini kusudi la mkutano huu? Hi itatusaidia wapambanaji kujua katika uwanja wa vita oponent wako anafanya nini!
   
 2. I

  IFRS 9 Senior Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha unaa na fanya mambo yako..
   
 3. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hahaha! Lol
   
 4. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,538
  Likes Received: 12,797
  Trophy Points: 280
  UNGETEGA SIKIO KWA MAKINI
  AMA UNGEMTUMA
  MHUDUMU UMGEE
  NA KIVUJA JASHO
  ungepata full data,
  then ungetudadafulia
  si hatujaenda hapo nyantare japo ni karib sana.NEXT TIME KUWA
  MBUNIFU BHANAAA
   
 5. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwani hujui kuwa Nyantare socia Pub ni ya mbunge wa jimbo la Segerea Makongoro Mahanga,
  huenda bado anaendelea kuwapongeza Magamba wenzie kwa kumsaidia kuchakachua kura!!
  Japo hiyo Nyantare imejengwa kwenye open space!! serikali kilaza.
   
Loading...