Wazungu marekani waandamana wakiwa uchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazungu marekani waandamana wakiwa uchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BigMan, Jan 29, 2012.

 1. B

  BigMan JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  hawa ni wakazi wa kitongoji kimoja kinachoitwa castro katika jiji la san fransisco nchi marekani wakiandamana kupinga sheria inayowakata kuingia na kupata huduma wakiwa uchi katika mahoteli,migahawa na bar
   

  Attached Files:

 2. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hili Taifa Teule!
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  hawa watu wamelaaniwa ndio wanaotultea matufani
   
 4. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Madhara ya kula ma kiti moto hayo! Wamepoteza hali ya utu!
   
 5. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ha ha haaaaaaa! Hao wanadai haki jamani. Katika kudai haki hakuna kufanya masihara, ni uamuzi tu.
   
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Usicheze na kitimoto kimetafuna akili yote.
   
 7. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,776
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Hao nao ni wanaHARAKATI waMAREKANI.....effect of using in excess RED PORK basi akili zao hazina tofauti na hayo mambuzi K...... 100% ya hao ni mashoga na wasagaji...ndo hicho tunachoenda kujifunza MAREKANI mara kwa mara eti ili tusife na njaa..LAANA MATLUBAI
   
 8. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Cha kushangaza hatuoni huo utumbo kwenye mainstream media za Marekani
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Wale wanaopenda maandamano, haya igeni, mnangoja nini?
   
 10. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  wanaopendaa = wanaopenda.

  Nasikia wewe mwalimu wa kiswahili.
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Ahsante kwa hilo, hivyo ndivyo inavyotakiwa, tunapokosea turekebishana, hayo si makosa ya Kiswahili hayo ni makosa ya typing.
   
 12. manenge

  manenge JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hapo sioni tofauti yao na hayawani wengine. Mungu inusuru dunia
   
Loading...