Hii Meseji Toka TIGO ina maana gani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii Meseji Toka TIGO ina maana gani??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kaeso, Jan 30, 2012.

 1. k

  kaeso JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hawa Tigo sijui vipi, wamenitumia meseji mara ishirini lakini sijailewa. Nikipiga customer care haipokelewi. Naomba kwa anayeielewa anifafanulie. "YOUR DEBITBALANCE_SUBACCOUNT IS NEARLY RUNNING OUT"
   
 2. Valentineoneday

  Valentineoneday Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 25
  umekopa muda wa kulipa umepita na bado haujalipa.
  Lipa deni hyo msg hutaiona tena.
   
 3. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,721
  Likes Received: 1,630
  Trophy Points: 280
  hakuna kitu kama hicho unatafutwa ili uibiwe, mie juzi niliweka pesa kwenye Iphone nikajiunga na internet siku kwa sh 500, kesho yake wakaniunga tena bila kuwambia waniungisha mara nne mpaka hela ikaisha ndipo wakaacha, wanaweza kukutega hata kwa nyimbo ili ungie mkenge, kwa kweli sasa hivi wameanza wizi wa haina nyingi.
   
 4. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hii mitandao sasa imevamiwa na mafisadi
   
 5. s

  sasha ally Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tgo imeshachoka waje wengne
   
 6. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ndo uzuri wa Tanzania, vyombo vya kumonitor haya makampuni vimelala nziii.! Nani analinda haki ya mteja?? Hadi watu walalamike saana ndo utasikia eti tcra wanapiga mkwara, this z bullsht
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  upo postpaid plan?
   
 8. k

  kaeso JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tangu wameanza mchezo wa kukopesha, sijawahi kopa!
   
 9. k

  kaeso JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimetupilia mbali li-sim card lao, inbox imejaa mimeseji yao isiyo na kichwa wala miguu!
   
 10. k

  kaeso JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapana.
   
Loading...