Hatukubali kufanya kazi na madaktari wa jeshi-wauguzi muhimbili wanena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatukubali kufanya kazi na madaktari wa jeshi-wauguzi muhimbili wanena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Jan 30, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wakuu nasikia wauguzi na wahudumu wengine wa afya wameapa kutoshirikiana na "madaktari" kutoka jeshini.huu mgogoro ni mkubwa kuliko ilivyofikiriwa na dalili zinaonyesha hali itakuwa mbaya zaidi hapo siku ya kesho.kwani leo ilikuwa siku ambayo ilitarajiwa kuwagawa madaktari lakini inaonekana bado wako pamoja na wanazidi kuvuta hisia za madaktari wa mikoa mingine.
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  well done manesi tuko nyuma yenu:ballchain:
   
 3. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  safi sana, serikali ya kikwete haiwezi kuwa na majibu sehemu zenye maswali magumu. Naomba tuendelee hivi hivi ili ifike mahali hii serikali ya kishikaji itupigie magoti.
   
 4. msikonge

  msikonge Senior Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Na bado!
   
 5. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  JackB umekua ukikazana sana na mgogoro huu hata sijui hizi tarifa unaziokotea wapi? nahisi unapelekeshwa na nguvu ya ziada ya ushabiki,hao manesi waliya sema hayo wapi na lini?
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Kama wewe hauna taarifa sahihi ya kukanusha hiki alichoripoti wewe unawashwa na nini? wewe kama umeweza kumuona mwenzako anafuatilia sana huu mgomo na wewe ulikuwa unamuonaje kama hamfuatilii wote?
  Huu ni unafki.
   
 7. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  niko kwenye field nimeliona na kulisikia hilo.au unasubiri T.B.C wakuletee taarifa unazozitaka?
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  muhimbili,leo!!
   
 9. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Walisema ijumaa. leo wametoa hiyo.
   
 10. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Maji na mafuta hayachanganyikani kamwe!
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wamtaka pinda kuwaomba msamaha madaktari
   
 12. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ama kweli chupa/kioo kamwe hakipati kutu wala kuliwa na mchwa.

  Madaktari onyesheni tofauti kati ya hao vilaza wanasiasa na nyie mlio sota class.
   
 13. B

  Baba Dorcas Member

  #13
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaliyonenwa na Nabii TB Joshua wa Emmanuel Ministry wa Nigeria yameanza kutimia! Naomba kumunukuu "Nimeona nchi fulani East Africa inayotegemea kuwa na uchaguzi mkuu tr 30 octb 2010, nkaona chama pinzani kikishinda kwa kuwa na kura nyng kuliko chama tawala LAKINI chama hicho tawala kimefanya udanganyifu na kuchukua nafas ya upinzani, nimeona nchi hiyo ikiwa ktk misukosuko na khali ngumu ya kiuchumi na kisiasa, niletei bendera ya nchi hyo ambayo inategemea kufanya uchaguzi ili tuiombee", haraka na kwa kasi kubwa mama mmoja akampelekea bendera ya Tz kwani ndo iliyokuwa ktk maandaliz ya kufanya uchaguz majira hayo ktk A.Mashariki. Weng wetu tulibeza na kutojali unabii huu, tukasahau na kuuona kuwa hauna maana, lakin ukwel wake unaanza kutimia.
  My take; Mara baada ya uchaguz na ccm kujtangaza kua imeshnda kwa kishindo na kujaribu kuficha ukweli kwa kuimwinya NEC, mojawapo ya chama pinzani kilionekana kuwa kimeshnda hata kuficha matokeo ya chama hicho kwa baadh ya mikoa km Arsh, K'njaro, Mwanza, Mbeya, Kigoma na baadh ya majimbo ya Dar ambapo ilisemekana chama hcho pinzan kilikua kinara kwa kura, Lkn kura zake zkafichwa! Baada ya kuona hvo, niliwaeleza baadh ya marafk zangu na ndg wengne kile nachokiona, nikawaambia hivii, Kikwete ameamua kuchukua madaraka kwa hila na udanganyifu na kuwaona Watz kua hawana akili, lakini ni ole kwake maana hataweza kutawala wala kuiongoza nchi hi, nkasema, aitha uongoz wake hautaisha na endapo utaisha utamwacha Kikwete ktk hali ngumu kisiasa na kijamii! Sasa yote hayo naona yameanza kujongea, siwezi kujua ni lipi linaenda kutokea kati ya hayo mawili lakin tahadhar yangu naomba niitoe kwa wale wanaoamini ktk kuomba, na tuzidi kuiombea Tz kwan tuendako siko! Mungu airehemu Tz na watu wake. Tutubu kwa ajil ya viongoz wote na nchi kwa ujumla, Nyakati 7:14-15.
   
 14. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mwenyekiti wa wauguzi hawa alikuwa anongea clouds fm.
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mkuu nadhani sasa umeamini.kama umesikiliza dira ya dunia BBC.
  mimi niko kokote pale hata hapo ulipo!!
   
 16. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,143
  Likes Received: 10,498
  Trophy Points: 280
  nimesikiliza bbc machozi yamenitoka.
   
 17. m

  mhondo JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kuna watu walisema T.B JOSHUA alipinga kuwa hakusema hayo maneno. Sijui ukweli ni upi.
   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  JB ni mshabiki hatari sana wa siasa za kimanamba.
   
 19. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkubwa!

  Hii moto Pinda aliyowasha Mi cjui nani ataizima!
  Inaitwa MOTO WA GESI atazima mwenyewe ama atashirikisha serikali yao legelege.
   
 20. K

  Konya JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwa hili,pinda ni kama alikulupuka, aibu itamfuata nyuma yake,kwa nafasi yake, busara ingemtangulia,lakini kwa style hii ya udikteta ni kama anazidi kulikoroga
   
Loading...