simu na sms za vitisho kuna haja ya kusajili lini? Je TCRA ifungwe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

simu na sms za vitisho kuna haja ya kusajili lini? Je TCRA ifungwe?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by vimon, Jan 29, 2012.

 1. vimon

  vimon Senior Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  watu wengi wanasiasa,raia wa kawaida wamekuwa wakipokea simu au message za vitusho kutoka kwa number zisizo julikana
  tumesajili number lakini haisaidii. Hata kipindi cha uchaguzi zulitumika kuwakashifu watu.
   
 2. k

  kiche JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  uwa nami inanishangaza kwa suala hili,bado unaweza kusumbuliwa na simu usiyoijua na kuwaambia wahusika na wanakujibu bila wasiwasi kuwa hiyo namba haijasajiliwa!!!usajili ulikuwa na maana gani?au kuna rushwa inatembezwa TCRA ili kupuuza sheria?kwani taarifa ya simu hizi zipo nyingi sana,au makampuni ya simu yanaogopa kukosa super profit waliyoizoea!ni wakati sasa kamati ya bunge kuishukia TCRA ili huu ubabaishaji uishe.
   
 3. Third Eye

  Third Eye JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  hayo ni kwa wale ambao hawajasajili kabisa,bado yale yaliyosajiliwa kwa majina feki, we nenda kwa mawakala wao wale wanaokaa kwenye miavuli,we wape buku mbili zao wanazotaka ushapata namba,uwe una kitambulisho,usiwe nacho namba unapata. kuna siku nasajili namba kwa ajili ya moderm,nafika nyumbani eti imesajaliwa jina la kike,sijui salama sijui,nikabaki nacheka tu mwenyewe
   
 4. m

  moshingi JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikipiga kelele humu kila mara....
  TCRA amkeni...amkeni...amkeni....usingizi gani huo mliolala??? au tayari mshakufa!!!!

  Faiza Fox popote ulipo saidia amsha hao....
   
 5. Jacobus

  Jacobus JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 3,577
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Mimi simu yangu imefungiwa na Airtell kupokea simu na ujumbe tokea 16/12/2011 bila sababu yoyote. nimesaga lami ofisini kwao kurejeshewa mpaka leo hii hakuna ufumbuzi. Cha ajabu mie napiga na kutuma ujumbe.
  Sielezwi sababu ya kufanyiwa hivo, hebu jaribu kupiga 0784371116.
   
Loading...