CLOUDS FM walinufaika na hela za RICHMOND? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CLOUDS FM walinufaika na hela za RICHMOND?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Jan 30, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Habari wanaJF

  Najua kwa sasa mawazo yaliyo mengi yameelekezwa kwa mgomo wa madaktri
  lakini nawaomba muelekeze macho yenu kwenye hili swala la kupanda kwa gharama
  za umeme, Kwa muda wa wiki mbili kunaanzia leo 30.1.2012 CLOUDS FM na TANESCO watakuwa wanaelimisha
  na kuwaaminisha wananchi dhamira ya kupandisha gharama za umeme.

  Hii imeniuma sana kuona hiki kuradio kinaanza kuwaraghai watanzania kuhusu swala la umeme
  Huu utakuwa mpango wa CLouds fm maana nao wamenufaika na mkwanja wa Richmond

  [​IMG]
   
 2. I

  Independent Voter JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tatizo nyie watu wa vyama ndio mnawaendekeza hawa,sisi tutamchagua mtu kwa sera zake sio chama chake!
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hapo sijakupata kwa hoja yako maana hoja yangu ni clouds fm kuwaaminisha watanzania na kupanda kwa gharama za umeme, na kutakuonesha UZARENDO KWA NCHI YETU maana wamenufaika na mkwanja wa richmond:A S embarassed:
   
 4. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  Nasikia huyu jamaa wa kulia ni bingwa wa kufakamia John Walker Black Lebel, ila huyu wa kushoto haeleweki, kwanza watu hajui kama kaoa ama la wakati kavuka hamsini.
   
 5. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Duuuh mwanaume kakumbatiwa.
   
 6. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,381
  Likes Received: 3,141
  Trophy Points: 280
  Walianza kufaidi fedha za epa ndo maana kibonde na clouds walikuwa makampeni meneja wa mafisadi na ccm yao. Nackia ndo chanzo cha gardner kugombana na kibonde na clouds kwani alipewa kamkwanja mbuzi. Richmond wanatarajia kupata mgao mkubwa sn baada ya kikwete rostam na lowasa kukamata tuzo yao ndo maana sasa clouds ndo kampeni meneja wa fisadi lowasa
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Aowe na vile vibinti vya THT amuwachie nani?
   
Loading...