Help please: Hela ya kujikimu kwa waalimu wa shahada ni siku ngapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Help please: Hela ya kujikimu kwa waalimu wa shahada ni siku ngapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Vmark., Jan 30, 2012.

 1. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Wana jf! Salute kwa wote humu jamvini. Kuna mdogo wangu wa kike kapangiwa Arusha Meru na kaniambia kuna rumours kuwa hela ya kujikimu imepunguzwa kutoka cku 14 hadi cku 7 kama ilivyokua last year! Is there any authenticity with this information jf members? Teachers please i need ua contributions!!
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ni kweli kuna Amendment ya Standing Orders for Public Service, 2009, 3rd Edition iliyofanyika March 2011, inayopunguza siku toka 14 hadi 7!
   
 3. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Lakini za wabunge zaongezwa tu! Lo!
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,466
  Trophy Points: 280
  Yes Posho ya kujikimu serikalini ni 7 days. Ila ikipita hiyo 7 days huku bado hujapata nyumba, then gharama za siku zote baada ya hizo siku saba, mpaka siku utakapo pata nyumba, utaziwasilisha kama madai na unastahili kulipwa!.

  Watanzania wengi hatujui haki zetu!, mathalan abiria wote kwenye vyombo vya abiria ukiondoa reli, wana bima ya ajali ambayo inafidia kiasi fulani kwa kila abiria endapo itatokea ajali!.

  Kwa abiria kutojua haki zao, ajali kibao zinatokea na abiria hawadai fidia zao kwa vile hawajui wanastahili kufidiwa wao na mizigo yao!.

  Vivyo hiyo baada ya hiyo 7 days subsistance allowance, mtunishi anastahili subsistance allowance siku zote baada ya hapo mpaka atakapo patiwa nyumba!.
   
 5. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Oukey guys! Ntamwambia apotezee goverment hii ya kishkaji af ntamtafutia deal private xuls!! Viva guys
   
 6. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Yaani apotezee kwa sababu ya kupungua siku za "subsistance allowance"!Mwache sister akapige mzigo ili hata akitaka kwenda kuongeza shule mbeleni iwe rahisi.
   
 7. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  yep!let ha find green postures bse ts not wise to waste ua tym with those gud for nothing moles who r just there to enrich their bellies!!
   
 8. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mkuu Pasco,
  Hebu tuache hilo la abiria kwanza! Hilo la kwamba mtumishi asipopata nyumba atalipwa subsistence allowance hadi hapo atakapopata nyumba, umelipatia wapi maana sijaliona kwenye Standing Orders? Tuelimishane mkuu!
   
Loading...