Hivi CHADEMA nao ni chama cha kifamilia kama CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi CHADEMA nao ni chama cha kifamilia kama CCM?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by toby ziegler, Jan 27, 2012.

 1. t

  toby ziegler Senior Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kila mtu anajua CCM ni chama cha kifamilia...kuanzia Nyerere mpaka huko visiwani

  swali langu je, CHADEMA nao upuuzi huu wanao au wao wako beyond politics za kifamilia kama CCM?

  kama hawana itatia moyo kujua kama kweli hiki ni chama mbadala

  wengine tushachoka na CCM na mambo yao ya kukifanya chama kifamilia familia tuuu

  I hope jedwari la CHADEMA liko empty na diverse kuliko la CCM

  Nawasilisha
   
 2. A

  Aman Ng'oma Verified User

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 930
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  ccm sijui,ila chadema ni dhahiri chama cha kifamilia na kikanda.
   
 3. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  ndio. then wataka kusema nini?
   
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Kwa nini usinge post kule chit chat mkuu?
  Unawasilisha bila ushahidi wowote?
  Mbona wengine hawajui...wafahamishe kwa ushahidi ulio wazi
   
 5. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  CCM sio chama cha kifamilia wewe, ila kwa magwanda underline jibu.
   
 6. S

  Sikwepeshi Senior Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  toa ushahidi wakina,sio kuandika tu
   
 7. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Watu wengi hawajaelewa dhana hii ya nguvu ya uma, manake ni kwamba watu ndo waamuzi sio mtu mmoja, watu wanaokwerwa na hari zao kuwa duni ndo waamue kupitia jina la CHADEMA kuchagua wawakilishi wao na kuwaondoa kama hawawajibiki sio kama CCM we si unaona wanaviongozi wanaotumwatoka makao makuu.

  Wanchama wa eneo husika ndo wachague watu wa kuwawakilisha, ngazi ya kitongoji, kijiji, kata, jimbo n.k tena wasisubiri kauri ya makao makuu wakiona kiongozi hawajibiki wamwondoe.
   
 8. k

  kipinduka Senior Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbowe mkwe wa muasis,lissu na dada yake,ndesamburo na mwanae na mkwewe kiwelu,slaa na mzaz mwenzie,nyerere na dada ake,zitto na mama mzaz,hy tosha inaonesha ufamilia na hao ndio watoa maamuz,et peoples kwa unafik huu
   
 9. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wewe wasindikize tu, wenzako wachaga wanasaka shilingi kwa mgongo wako!
   
 10. e

  edwin abdallah Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi ni kwa WTZ kuchambua wenyewe, kwangu mimi ninachofahamu ni kwamba Chadema ni chama Makini ambacho kipo kwa minajili ya kila MTZ. So kusema kwamba ni chama cha Kifamilia ni kosa kubwa na ni katika harakati za kufuata mkumbo usichokijua kwani kwa kawaida ya Siasa za Tz kwa watu ambao hawataki Changes huzusha Mengi kama vile hiki ni chama cha Kidini, Kikanda, Kifamilia, ukoo na hata kusema Mke na mme.

  Ebu jaribu kufuatilia enzi za CUF ilivyozushiwa dheni njoo kwa Chadema ilivyokua kimezushiwa na Fuatilia Hitimisho kwa uchaguzi mdogo Igunga. Hapo utapata jibu kati ya Chadema na Chama cha Kijani (CCM) ni kipi cha kifamilia au udini. KIukweli CCM ni ufamilia, kujuana, Udini kama ilivyokua Igunga Familia kama inavyoonekana ndani ya UVccm ambapo utakuta akina Ridhiwani, Husein mwinyi, Nape, January, Mtoto wa kawawa, Na wengineo wengi kama wanavyoptambulika kwa nyadhifa zao na majina yao.

  So take care CCM kuna shida Ndo maana wanashindwa hata kuwajibishana na kufukuzana kwa sababu za undugulization. Na wakati wa Kampeni zilikua za Baba na mkewe plus Watoto.ebu pima hilo.

  Chadema hakuna hilo na kwani fuatilia viongozi ni from maeneo mbalimbali na uhamuzi sio wa mtu mmoja bali ni Baraza kuu na Wananchi so hawana mambo ya udini wala ukanda. Bali WTZ wangi hudangachwa na kwa Ujinga wao Hukubali kudanganyika na ni kazi kweli kuwaelewesha ebu tujaribu kuwaelewesha. Najua kuna wakati watakuja tu kuelewa.
   
 11. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Msipende kuchokonoa chadema kwani na nyie mtachokonolewa kwa nyuma pasipo kujua. BRAVOCHADEMA.
   
 12. e

  edwin abdallah Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usikatishwe Tamaa na wapiga propaganda wa Chama cha Kijani kwani always wanataka kuendelea kutuibia Wtz kama unavyoona kwa sasa nchi kuwa gizani Ghalama za maisha kama tunavyoshuudia sasa hivi. Na mwenye macho haambiwi Tazama. Tunaitaji Tz ambayo haina Waizi mafisadi na Wapiga prom. bila kufanya kazi.
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hebu ondoa haya matapishi yako yanatoa harufu mbaya!
   
 14. kmbise

  kmbise Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 15
  Hapa wadau napingana na mtoa hoja. Hebu tazama, m/kiti ni mtu wa klm, katibu manyara, katibu msaidizi kigoma, mnyika siyo kaskazini. Angalia pia hakuna mtoto wa hawa watu mwenye wazifa chadema. Hakuna undugu. Ila suala la udini wenzetu wanaweza kusema coz hayo majina hapo juu yote ni ya kikristo kwa mtazamo wao.
   
 15. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,737
  Likes Received: 3,172
  Trophy Points: 280
  Sasa ulitaka hao wajiunge na ccm ndio utaelewa zaidi. Hizi habari za gengeni msituletee humu kujaza server. Mwalimu na Mama Maria, akina Makongoro wote hao si ccm sasa cha ajabu kwa Chadema ni nini?
   
 16. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Walau si Malaria Sugu lakini utumbo kama huu ungekiona humu!
   
 17. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Tatizo Watanzania tunapenda kuvuna ambacho hatukulima,panda na kupalilia! Siku CDM ikiingia madarakani watawala wetu wapya watakua wale waliojitolea kunyanyasika,kuteswa,kufunguliwa kesi bandia nk. Wewe endelea kulala ama kupinga mageuzi matokeo utayaona!
   
 18. b

  boardwalk empire Member

  #18
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashauri CHADEMA waiijibu hii topic

  nishajua kinachokonolewa nini humu
   
 19. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni vema tukakumbuka kuwa mtu kuwa ndugu wa kiongozi fulani haimuondolei haki zake za msingi za kikatiba ikiwemo kuchagua chama anachokitaka, haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Kwa mtazamo wangu hakuna tatizo kwa wanafamilia kuwa chama kimoja kwani ni haki yao kikatiba kuchagua wanachokitaka. Hoja ya msingi ni je wanasifa zinazostahili kushika nafasi walizonazo na kufuata utaratibu ambao upo wazi?
   
 20. d

  davidie JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ama kweli wewe kichwa mbovu. Rudi kwa jk uone tokea mke hadi mtoto walivyoshikilia madaraka ndani na nje ya chama kiasi kwamba liz1 anasauti ndani ya chama kama waziri mkuu na huyo 1st radi wenu ndio mshahuri mkuu wa baba yenu mwenye kaya ni kichekesho kwa kuwa huyo mama pale nachingwea ttc alifauru ualimu grade 3a kwa shida sana na ndio maana mpaka leo hataki kujiendeleza ka lolote zaidi ya hizo ngo zake ambazo haziitaji taaluma bora kwa kuwa kila kitu kinaletwa na mzee
   
Loading...