FFU wanaenda wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FFU wanaenda wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by REMSA, Jan 30, 2012.

 1. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nmefika maeneo ya Tazara naona misururu ya magari ya FFU yamejaza maaskari,na magari ya kuwasha
  wakielekea mjini,au ndio wanawafuata madaktari wetu nini!!
   
 2. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanaenda kutuliza mgomo ikulu wapishi wamegoma
   
 3. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Hao wameagizwa na PM wawafukuze madaktari wasifanye
  Mkutano popote. Kazi ipo.
   
 4. t

  testa JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Vita hiyo ya madaktari na sirikali...
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Waliogoma waingie mtaani. Na waliowatuma nao waingie mtaani.
   
 6. u

  utantambua JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi huna ndugu yeyote anaye belong katika pauper class? Manake comments zako zinaashiria ukoo wako wote ni member wa elite class: ikulu, benki kuu, na balozi zetu huko ughaibuni basi. Na hivyo unaridhika na status quo
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nadhani wewe uko TISS
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Wanatokea wapi?
   
 9. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tanzania bila kashkash mambo hayaendi
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Serikali ya hovyo sana hii!!!
  kama madaktari wameamua kwamba hawafanyi kazi, wanataka KUFANYA MKUTANO WAO WA NDANI, kwa nini serikali iwabugudhi?

  Kwani hakuna sheria za kazi? kama mwajiri anaona umegoma kufika kazini bila taarifa, si atoe onyo au kufukuza kulingana na sheria inavyotaka?

  Huu ni upuuzi wa hali ya juu sana, ukosefu wa mbinu za utawala na busara ya utawala........
   
 11. mwandiga

  mwandiga JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 1,449
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 180
  Hawa polisi hawana akili kabisa. Polisi ndio wanaoongoza kwa kuzaliana na wanaowazilisha ni madaktari ambao leo wanaenda kuwapiga. Wafike mahali nao watumie akili kwani madai ya madaktari ni ya msingi, wafike mahali nao wasiwe wanatumiwa na wanasiasa. Leo waziri mkuu akiumwa hatibiwi bongo ataenda appolo India, polisi atapata wapi hela ya kwenda India
   
 12. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,583
  Trophy Points: 280
  Upuuzi wote huu na bado tunajivuna Tanzania tunayo democracy. Democracy my foot! Democracy bila freedom of assembly and expression si unafiki tu.
   
 13. MANI

  MANI Platinum Member

  #13
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Mkuu yani unashindwa kuelewa wanatetea nini ?
   
 14. u

  utantambua JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu sielewi kabisa
   
 15. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wametokea maeneo ya uwanja wa ndege wameelekea mjini.
   
 16. M

  Mwanyava JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni matumizi mabaya ya vyombo vya dora. Kwani hao madaktari wanafanya fujo gani?
   
 17. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kama wanachokita ndo kile waziri mkuu alichokiongea jana serikali haitakuwa na uwezo wa kuwatimizia pole yao tuone mwisho wao utaishia wapi.
   
 18. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  pinda ni jinamizi-jipya'
   
 19. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,577
  Likes Received: 845
  Trophy Points: 280
  kama waliweza kupandisha gharama ya mafuta ya taa kisa wachakachuaji wasiozidi mia tano ..itafika wakati hata vikao vya harusi wanataka viombewe vibali maana mheshimiwa anasema hawaruhusiwi hata kufanya mikutano ya ndani
   
 20. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wewe mhindi na wenzio siku zenu zinakaribia hamtaendelea tena kufyonza utajili wetu kwa mgongo wa ccm kamwe!
   
Loading...