Mgomo wa Madakitari Kuimarisha Afya za Watanzania!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa Madakitari Kuimarisha Afya za Watanzania!.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pascal Mayalla, Jan 28, 2012.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,554
  Likes Received: 18,239
  Trophy Points: 280
  Wanabodi naanza na angalizo!.
  Kama wewe hujui chochote kuhusu " will power" na "faith healing" nakushauri jisomee tuu na usichangie kitu ili nawe sasa uelimike!.

  Mgomo huu wa madakitari unaendelea licha ya kuliangamiza taifa kwa the weakest to perish, pia utaliimarisha taifa kwa the strongest to survive!. Hivyo please let the weak die the sooner the better and in fact eventually they will die anyway, the sooner they die the better!.

  Nasema mgomo huu utaimarisha zaidi afya za Watanzania kwa sababu sehemu kubwa ya magonjwa mengi ya kila siku ni "Psachosomatic desease" watu wanaigua kwa sababu tuu daktari yupo!.

  Inapotokea daktari hayupo, will power ndani ya miili ya Watanzania sasa ndio inakuwa invoked to work against all deseases hivyo kupelekea watu wengi kutougua kabisa!.

  " Will Power" ndio kitu cha nguvu na uwezo mkubwa kabisa kufanya lolote ndani ya mwili wa binaadamu kuliko jambo lolote!.
  Tunapougua na kwenda kutibiwa, kinachoponyesha sio lazima ile dawa bali ni "will power" iliyo ndani yako!. Hata wale wachungaji wanaoombea watu na kuponya kwa miujiza, kinachoponyesha sio miujiza yao na wala sio jina lolote wala nguvu yoyote kutoka popote bali ni kutoka ndani yako!.

  Ili mwili wako uweze kuitumia hiyo "will power" yako, hiyo will power lazima iwe invorked ili iamke na kutenda makuu. Hiyo invorking inafanyika kwa imani na imani rahisi ni kuamini ni Mungu, au kwa Jina la Yesu!. Waganga na matapeli hui invoke kwa jina lolote lile iwe ni pretex ya mizimu, manyanga, kupandisha mashetani, kuotoshwa kama kikombe cha Babu etc ili mradi ni hiyo will power iamshwe ifanye mambo!.

  Hivyo huu mgomo ni blessing in disguise kwani Watanzania wakishajua hakuna daktari, will power sio tuu itaponya maradhi bali pia itazuia maradhi mengi zaidi!.

  Natoa wito kwa madaktari wetu, endeleeni kugoma kwa sana hata ikibidi gomeni jumla kabisa!, let the weak wajifie zao na kutupunguzia gharama za kuwahudumia!, let the strong live bila kuugua ili tulijenge taifa letu!.

  Mungu wabariki madaktari wagomaji!.

  Mungu Ibariki Tanzania!.

  Wasalaam.

  Pasco (wa jf).
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo unaishauri serikali iwekeze kwa kina kakobe,lusekelo na babu wa loliondo?
  Sasa wagonjwa wanaopata ajali itakuaje?unamaanisha ukiwa na will power unaweza kutembea huku ukiwa umebeba mguu wako uliokatwa kwenye ajali!
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Vipi lile angalizo lako mkuu la "summary dismissal"? so far kwa hili la watu kutougua cause wanajua hakuna pa kukimbilia ni kweli inatokeaga!
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,554
  Likes Received: 18,239
  Trophy Points: 280
  Tunapougua na kwenda kutibiwa, kinachoponyesha sio lazima ile dawa bali ni "will power" iliyo ndani yako!. Hata wale wachungaji wanaoombea watu na kuponya kwa miujiza, kinachoponyesha sio miujiza yao na wala sio jina lolote wala nguvu yoyote kutoka popote bali ni kutoka ndani yako!.

  Ili mwili wako uweze kuitumia hiyo "will power" yako, hiyo will power lazima iwe invorked ili iamke na kutenda makuu. Hiyo invorking inafanyika kwa imani na imani rahisi ni kuamini ni Mungu, au kwa Jina la Yesu!. Waganga na matapeli hui invoke kwa jina lolote lile iwe ni pretex ya mizimu, manyanga, kupandisha mashetani, kuotoshwa kama kikombe cha Babu etc ili mradi ni hiyo will power iamshwe ifanye mambo!.

  Hivyo huu mgomo ni blessing in disguise kwani Watanzania wakishajua hakuna daktari, will power sio tuu itaponya maradhi bali pia itazuia maradhi mengi zaidi!.

  Natoa wito kwa madaktari wetu, endeleeni kugoma kwa sana hata ikibidi gomeni jumla kabisa!, let the weak wajifie zao na kutupunguzia gharama za kuwahudumia!, let the strong live bila kuugua ili tulijenge taifa letu!.

  Mungu wabariki madaktari wagomaji!.

  Mungu Ibariki Tanzania!.

  Wasalaam.

  Pasco (wa jf).
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mgomo wa madaktari utaimarisha afya kwa sababu huu utakuwa ni mwanzo wa kutenganisha proffession na siasa,ni wakati wa mtaalamu kushauri na kusikilizwa.maslahi na mazingira ya mtumishi wa afya yakiboreka tutaweza kumuwajibisha mara anapopasua kichwa badala ya mguu.hivi kama serikali inaweza kumdharau msomi wa kiwango cha juu kiasi hiki,itawezaje kumthamini muuza mandazi au msukuma mkokoteni.mgomo huu ni njia moja wapo ya kuwakumbusha watawala kwamba nchii ina wenyewe na wenyewe ni wananchi,viongozi ni kama diepers au pedi zinatumika na kutupwa.
  Hoja ya pasco inaonyesha tunavyopenda kuiga jambo bila kifikiria,yaani ukiona marekani wanapractise alternative medicine na wewe unakurupuka unataka kuanzisha bodi ya kusimamia.tusipende kukurupuka na inatakiwa tufanye mambo kwa awamu. Ndugu pasco unataka kuturudisha kwenye enzi za muarobaini?
  Madaktari wameamua kuwasemea wanyonge na matunda yake yataonekana na wote wanaosimamia vikao hivi endelevu wataingia kwenye vitabu vya kumbukumbu,na wale viburi kama ms blandina wataibeba damu ya watanzania inayomwagika bila hatia.
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,554
  Likes Received: 18,239
  Trophy Points: 280
  Jackbauer, ukishakuwa na strong will hupati hata hiyo ajali au ikibidi kutokea unasalimika bila hata scrach!.
   
 7. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa siamini wanaosema Pasco (wa JF) kapinda, ila leo kaniaminisha kuwa kapinda kweli.

  Unaongelea survival for the fittest, the theory applies in ab hypothetical situation. I real, fikiria watoto yatima wangapi wataachwa na unfit parents, nani atawalea ilihali jamii na serikali haina kipaumbele katika kuwekeza kwa watoto?

  It is high time for Pasco to take your words back.nIt is understandable that you tripped on a wrong theory.
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,554
  Likes Received: 18,239
  Trophy Points: 280
  Mkuu mmbangifingi, hii kitu "will power" ni habari ingine!. Hakuna kuugua na ukiugua unajiponya mwenyewe!.
   
 9. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  he he he very controversial
   
 10. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Pasco kitendo chako cha kuweka nadharia isiyo hai inanituma kuamini kuwa unafurahia mgomo wa madaktari ili serikali ionekane haifanyi kazi, hizo zinaweza kuwa mbinu za Kilowasalowasa, kutetea uongo wakati unajuua ukweli.
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kabla na immidiate baada ya uhuru,kipindi ambacho hakukuwa na madaktari unadhani strongwill ilikuwepo?
   
 12. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,554
  Likes Received: 18,239
  Trophy Points: 280
  Freema Agyeman, huwezi kushindana na nature!. Hiyo formular ya strungle for existance sikuibuni mimi', kama ni kufa wote lazima tutakufa!, sasa unataka hao weak wafe lini?. Let them die the sooner the better hata mimi nitakufa na wewe utakufa!. Swali ni utakufaje na utakufa lini?!. Sasa kama your weak now unataka tuendelee kuteketeza resources kwa ajili yako mpaka lini?. Just die now and let the fit live mpaka weak points zao nao wafe!.
   
 13. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  pasco=kinjikitile ngwale.
   
 14. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Pasco kwanza nikupongeze kwa kuwa bingwa wa kuanzisha thread zenye utata mwingi. Kuhusu hiyo "will power" unayoisema labda inafanya kazi katika mazingira kama Somalia ambako kwa mkono wa Mungu watu wale wanaweza ku survise kimuujiza ujiza.

  Tukijaribu sisi tutakwisha, ni bora serikali ikashughulikia madai ya madaktari kikamalifu na kuachana na siasa au blah blah nyingine ili kunusuru afya za watu.

   
 15. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo basi, kwa nini tuendelee kutumia pesa nyingi kusomesha madakrai ambao mwisho wa siku hata kama hawapo maisha yataendelea? Ni vema medical profession ikafutwa ili watu waelekeze mawazo na capacity building investiment kwenye mambo mengine ya maendeleo?
   
 16. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Pasco hizo resources hukuziumba mpaka uzionee huruma kiasi hicho na imani yangu mpaka mwisho wa dunia, dunia itakuwa bado na hazina ya resourecs kuhudumia waliopo. "Struggle for Existence" & "Survival for the fittest" isiwe chanzo cha kuwanyima haki wenzetu ambao wanaweza kunusurika na maisha haya. Hebu jiulize kwa nini nchi za wenzetu wanatoa misaada lukuki kwa ajili ya malaria, si wangeacha tu wakijua tusurvive because of "will power"

   
 17. M

  Masuke JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  'Will power'
   
 18. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,554
  Likes Received: 18,239
  Trophy Points: 280
  Hivi wanyama wanasurvive vipi?. Jee unayo taarifa hata wanyama mwituni wanaugua na kupona!. Au wewe kwa sababu ni binadamu unajifikiri your better off kulika wananyama?. Ukiwa na strong will huugui na ukiugua unajiponya. Ukiugua ukiugua ukashindwa kujiponya means you are weak and not fit hivyo you deserve to die!. Unataka uishi mpaka lini?.
   
 19. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  lets talk about mambo kama ajali, cancer, tb, diabetes, AIDS, etc, je wanyama wanaugua haya magonjwa haya na wanasurvive kwa will tu?

  Pasco I thought you can think better than this. Usitaketatua matatizo makubwa kwa shallow, unpractical solution
   
 20. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  binadamu ni socialised animal.sasa mbona kama umechanganyikiwa yaani unataka tuishi kama wale nyumbu wa serengeti!
  Miafrika ndivyo ilivyo by NN
   
Loading...