Ubinafsi in action: Mtoto wa mkulima kidole na jicho kwani nyani haoni........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubinafsi in action: Mtoto wa mkulima kidole na jicho kwani nyani haoni........

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by politiki, Jan 31, 2012.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  wakati mtoto wa mkulima miezi miwili iliyopita akiteteta posho za wabunge za shs. 70,000 kwa siku na mshahara wa shs.milioni 7500000 kwa mwezi kuwa hazitoshi leo hii anapata wapi jeuri ya kusema mil.3.5 kwa mwezi ni pesa nyingi sana na serikali haina uwezo wa kulipa?? wabinafsi wakubwa hawa inapokuwa issue inayogusa public needs hawana fedha lakini inapokuwa issue inawagusa wao kama leaders basi wako tayari wananchi wale majani ili wapate wanachokita. Ubinafsi wa viongozi ndio unaonekana waziwazi ktk issue hii asante ulimboka na wenzako kwa kuwatoa nyoka hawa shimoni.
   
Loading...