Wana JF naombeni msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana JF naombeni msaada

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Crucifix, Jan 30, 2012.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nimenunua airtime ya vodacom kwa m-pesa kutoka mkoani huku na hakuna vocha za karatasi karibu. Nimeangalia salio m-pesa wamepunguza kiasi nilichonunua airtime lakini kwenye line ya simu ni masaa mawili sasa sijapata kiasi hicho na nina simu muhimu sana ya kupiga. Nimewapigia kwa namba 100 na 101 lakini naongeleshwa na computer na hakuna option ya kuwasiliana na mtu kwa msaada. Wadau wenye kufahamu namna mbadala ya kupata msaada naombeni mnifahamishe. Asanteni in advance
   
 2. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nunua nyingine hiyo ya awali imejam
   
 3. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  nimenunua nyingine nikapata message M-PESA is already attempting to purchase Air Time for you.

  kwani hakuna namna nyingine zaidi ya kupiga 100 au 101 ili kuwapata wahusika?
   
Loading...