Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sifa kuu za kuwa dokta i)Uvumilivu 2)Upendo 3)Huruma 4)udugu Kwa bahati nzuri licha ya Migogoro na hali ya chumi wa madakatari waliokuwepo Zanzibar sio nzuri, lkn hawajafikia kufanya vituko...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuanzia wiki iliyopita, watu wengi wamejikuta wamepigwa na butwa kwenye atm, ukiingiza atm card, atm machine inakujibu change status, na wengi wao ni wale wanaotumia card mpya (nbc master card)...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Watanzania wengi wapo gizani, hawaelewi mambo yote yanayoendelea. Watanzania wengi hawaelewi kwa sababu hawana muda wa kufikiri, kujadili na kupata habari za ufedhuli wa Xicmm. Wananchi wapo na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais J.K ametoa ahadi ya kugharamia ujenzi wa mahakama ya Haki za Biadamu Afrika Mashariki (ACHPR). Rais amesema kuwa Mahakama hii inabidi iwe na hali bora na majengo mazuri kwani itafanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
wakati mgomo wa madaktari na wauguzi ukiendelea,waziri wa afya ametembelea hospitali ya taifa muhimbili.mara baada ya kufika baadhi ya wagonjwa walipelekwa kwenye mabenchi na kuanza kupigwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huko tuendako kuna siku WABUNGE wataapa kwa kushika burungutu la PESA badala ya BIBLE ama QURAN"...............let wait and see
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani rais kesha chagua katibu atakaye kalia kiti cha JAIRO.Nadhani sasa ni rahisi kumpeleka MAHAKAMANI kama wataweza.
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Hapa JF na kwingineko kuna watu wanaamini kwamba JK nchi imemshinda. Tuambiane basi kama leo JK akiamua kubwaga manyanga tunataka nani achukue kijiti kutoka kwa JK. Na tunataka huyo mtu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nalazimika kuweka jamvini hapa kwenye fikra zenye utafiti na kwa imani pia kuwa ntawapata wahusika kujibu hoja yangu kama akina KIBANDA,NGURUMO kuhusu hii harufu inayoelekea kwenye gazeti TANZANIA...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
1.Hakuna mkakati wa dharura wa kuondoa tatizo siku za karibuni 2.Serikali haijatambua Athari kubwa zinazosababishwa na Mgao 3.Miez SITA ya mgao yaweza kuharibu uchumi wa miaka KUMI...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Hawa jukwaa la wahariri wana maana gani wanapotoa waraka na kusema wanatambua ufinyu wa rasilimali za nchi wakati ongezeko la posho kwa wabunge zimesainiwa? Mbona hawakutoa waraka...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau naomba kujua jambo hili ambalo linaitesa akili yangu pamoja watanzania wenzagu. Hapa kwetu Tanzania tuna Raisi, makamu raisi na waziri mkuu. Wanasema waziri mkuu ni mtendaji mkuu wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama mmesahau zile saa 48 mlizotoa na PM wenu zimeisha, Jumatatu hatujatia timu kazini kama mlivyoagiza, leo ni Jumanne, propaganda zote kupitia vyombo vya habari zimeshindwa na zitaendelea...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Zipo taarifa nyingi kiasi cha kutukanganya wananchi tunaoumia kutokana na mgomo wa madaktari!!! Ziko habari kwamba baadhi ya madaktari wanaendelea na mgomo wakati zipo habari kwamba wengine...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi ndio ukumbi wa mkutano unavyoonekana bado tunaendelea kusubiria wanachama waalikwa wafike.. UPDATE. Live link Friends of JF on USTREAM: .
21 Reactions
280 Replies
21K Views
Written by amini // 31/01/2012 // Habari // No comments Na Khadija Khamis Mjumbe wa Baraza la Katiba Zanzibar na Mwanasheria wa kujitegemea Ali Saleh amewashauri Wananchi wa Zanzibar kuwa...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Ambazo baadh ya wa2 wanafugia kuku,nahtaj kufaham.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hayawi hayawi yamekua.source zangu zinaniambia madaktari wamekomaa.
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Vifaa na Mazingira Bora ya Kazi Huzaa Huduma Bora za Afya Ni Jumatatu asubuhi. Hali ya hewa ya joto la kadiri ilikuwa ni kitu cha kawaida kwa maeneo haya ya Dar es Salaam kipindi cha...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kibwana ni gumzo kubwa ktk radio yetu Magic Fm. Mbona anataka kuifanya km Clouds Fm ya Kibonde? Manesi wamesema hawawezi kufanya kazi na madaktari wa jeshi kwa sababu historia inaonyesha mwaka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom