U mediocre wa gazeti la Tanzania Daima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

U mediocre wa gazeti la Tanzania Daima

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tinker, Jan 29, 2012.

 1. T

  Tinker Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PASCO NJOO UWATETE WAANDISHI WENZIO HAPA

  ukweli ni kuwa timu nzima ya GAZETI LA TANZANIA DAIMA :

  1. Hawajui mji wa Davos uko wapi

  2. Hwajui namna ya ku spell QATAR

  3. Hawafanyi proof reading

  Lakini kama kawaida ya JF mnataka kuwapa free hand

  maswali:

  Who owns this newspaper?

  Who are its editors?

  Who is its Chief editor?

  Who are its investigative journalists?
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Put it this way: nini elimu ya Chief or Managing editor wao?

  Mwanzoni gazeti kilikuwa partisan. Sasa hivi gazeti limegeuka kuwa la udaku, linaloweza kukodiwa kwa yeyote mwenye kuhitaji kutetewa au kuchafua wenzao. Ni aibu!
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Toa upupu hapa.Magamba mkubwa wewe.Magazeti ya udaku Tanzania ni Uhuru Jamba Leo na Habari Leo
   
 4. b

  busar JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Ni mmojawapo wa wanahabari uchwara?
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  ................Manufacturing of teachers.........................
   
 6. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hoja yako ni kijinga kamaulivyo mjinga mtoa hoja .Kwanza TZ daina kutokuwa Davos iko wapi haiwapunguziilolote .Hakuna maslahi kwa Taifa kwa kuto kujua .Na nadhani ile ilikuwa ni typotu mara ngapi serikali na Ikulu wameandika uozo na hata Mkuu kusema manufacturingof teachers ? Ondoa ujinga hapa jenga hoja .
   
 7. Third Eye

  Third Eye JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
   
 8. T

  TUMY JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kamata mwizi men :lol::lol::lol:
   
 9. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  teh...teh...teh... Manufacturing of teachers...,teh...teh.. Inanikumbusha kiwanda cha kufyatua matofali tena kwa mkono(manually).
   
 10. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mi wameniacha hoi majuzi pale walimquote pinda kamtaja malecela ktk hotuba yake; ofisi ya waziri mkuu ikawatoa nishai kuwa hilo jina halikutajwa kabisa siku hiyo, Hili ni gazeti la kufungia maandazi ckuiz; maana ni full udaku
   
 11. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  toa suluhisho.
   
 12. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  punguza munkali ww, ye ndo muono wake hu km we ulivyoonauhuru, lkn linajuliana ni la chama haki yao ktetea ulaji wao
   
Loading...