Madaktari live mlimani tv

Wanadai serikali isipuuze madai yao na wanaitaka serikali isitumie nguvu za dola kuzima madai yao,na wanaomba wananchi wawaunge mkono na wamesema kazini hawaendi!
 
Serikali haina huruma na manachi wanokosa huduma cos wao wakiugua wataenda private hospital, Nairobi, India..... ndio maana swala hili wanalichukulia mzaha. tunaoumia ni sisi walala hoi.
 
Ktk hili sakata, Madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na Serikali ukabaki salama.
Nawahurumia wale wenzangu na mimi wanaofuata mkumbo na mwishowe kupoteza ajira.
RUDINI KAZINI.....otherwise ...Very soon mtagundua kuwa mlikuwa mnapoteza muda na imeshakula kwenu.
 
Yetu macho hapo ni lazima utasikia tu Dr. Ulimboka na mwanachama wa CDM hivyo anatumiwa vibaya kufanya nchi isitawalike na kuingizwa CDM katika mgomo huo bila kuchuja hoja za Ma Dr. kama zina logic au la.
 
Ktk hili sakata, Madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na Serikali ukabaki salama.
Nawahurumia wale wenzangu na mimi wanaofuata mkumbo na mwishowe kupoteza ajira.
RUDINI KAZINI.....otherwise ...Very soon mtagundua kuwa mlikuwa mnapoteza muda na imeshakula kwenu.

Na serikali ikishindwa itasemaje? Sema pande zote mbili zikutane na kumaliza tofauti zao na siyo maguvu.
 
Serikali haiwezi kuwa na huruma wala kufeel adha ya wananchi ambao wao wenyewe hawajaonyesha kama wanaumia. Kwa wananchi kukaa pembeni kama mashabiki wa mpira uwanjani, tena wakiwa kimya zaidi ya kushangilia haitoshi kuonyesha serikali kuwa mchezo ni mbaya kiasi gani. Tunavyoshabikia tunaonekana kama vile hakuna wagonjwa mahospital wala wananchi wanaumia.
 
Ktk hili sakata, Madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na Serikali ukabaki salama.
Nawahurumia wale wenzangu na mimi wanaofuata mkumbo na mwishowe kupoteza ajira.
RUDINI KAZINI.....otherwise ...Very soon mtagundua kuwa mlikuwa mnapoteza muda na imeshakula kwenu.

Kazi sio lazima ufanye serikalini tu.Kazi za madaktari zipo kibao hapa nchini hivyo kupoteza ajira yao sio issue kubwa.
 
na wewe ngoromiko upo jf aisee ni hatari.
 
Kazi sio lazima ufanye serikalini tu.Kazi za madaktari zipo kibao hapa nchini hivyo kupoteza ajira yao sio issue kubwa.

Sawa, wapo wanaojua kuwa watapata ajira popote.
Hao ndio wanaowaponza wale ambao hawajui pa kwenda wakiachishwa serikalini.
Watakaofuata mkumbo hakika wataumia, na wale waliowaponza hawatawasaidia.
 
Na serikali ikishindwa itasemaje? Sema pande zote mbili zikutane na kumaliza tofauti zao na siyo maguvu.

Serikali ishindwe? waulize magwanda na wanafunzi wa mlimani.

Kukutana ni madaktari waliofanya dharau jana, Waziri Mkuu kawangoja hawakutokea, walitaka wabembelezwe? Mwanachi ataekuwa nyuma ya hawa na kuwaunga mkono huyo haitakii mema Tanzania.
 
Bosi wako amewehuka
 
Back
Top Bottom