Dawasco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawasco

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dio, Jan 30, 2012.

 1. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Habari wadau wote,
  mimi nawalalamikia hawa jamaa wa Dawasco wamekata maji wiki ya pili sasa,na hawajatoa taarifa yeyote na bili ya maji wanaleta kama kawaida,
  naombeni muwe mnajali wateja tafadhali sana,au na nyie mmegoma?
  Rudisheni maji maeneo ya mwananyamala Hospital,mabomba yenu mliyotubadilishia ya kichina taabu sana.
  Fanyeni hvyo jamani.
   
 2. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wana call centre hivi inafanya kazi ?
   
 3. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Haifanyi kazi kabisa
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Upo sehemu gani tushughurikie tatizo lako?
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  tushughurikie = tushughulikie
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  hapa ulipo weka habari yako, inaonekana kwa member wa jamiiforums tu. kama vipi ungeitafutia jukwaa lingine kama jukwaa la habari mchanganyiko. ni hayo tu. mia
   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  sijakuelewa. mia
   
 8. M

  Maneno Anania Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Weka namba yako, watakupigia!
   
Loading...