Tuanze upyaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuanze upyaaaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by laun, Jan 31, 2012.

 1. l

  laun Senior Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuanze upya kwani tulikojikwaa hapajulikani. Serikali imeshindwa kuajiri,imeshindwa kulipa malimbikizo ya madeni ,miradi imesimama,ma-dr wamegoma,umeme umepanda,walimu hawajalipwa,huduma za afya matatizo hakuna aliyeona hayo yote. Kipaumbele kimekuwa kuongeza posho zao. Wale wa cdm tuliowategemea kututetea kwenye hili hawajaonyesha dhamira safi kabisa. Magamba ni kama somali pirates . Eeh Mungu tusamehe tulipokosea,kwa mapenzi yako waue wenye dhamira mbaya katika mjengo ili tuanze upya ukombozi wa wagonjwa ,maskni...a
   
Loading...