Jamani tanzania Kodi zetu zimekuwa nyingi mno na matumizi yake hayaonekani
PAYE -30%
VAT 18%
Ewura 1%
stampduty--
Fuel levy-
Road toll Levy -
so in total we are paying 70% of our salaries to...
Wanandugu majuzi nimempeleka ndugu yangu kwenye hii hospital ya dk kairuki,..wengi walinishauri hosp ya karibu tukaamua kumpeleka hapo
tulipofika binti alikuwa na mimba ya miezi 7 akaongea na dk...
Nilimsikia kijana mmoja wa kiTZ ALIYESHIRIKI MASHINDANO YALE YA WANAFUNZI YANAENDESHWA NA tusker
Alipoulizwa umejifunza nini ktk haya mashindano aliongea maneno haya
NiMejifunza mambo matatu
1 ...
Wakuu nimechunguza siku moja baada ya bunge kupitisha bajeti ya wizara ya nishati na madini mgao wa umeme umerejea katika makali yake.kwa wale walioko arusha mnaweza kuelezea jinsi mgao wa umeme...
Baada ya adha na bugudhi za muda jioni ya leo kutafanyika uvamizi kwenye hiyo yard kuwatia nidhamu wahusika, kama una gari lako mule kachukue mapema.........
Hivi wanajamii samahani naombakujuzwa maana sikumbili tatu sikua karibu na vyombo vya habari,kwani mgao umeanza tena tanzania,maana nipo dodoma toka j3 yani nikero haifai.
baada ya kuanzishwa tu kuna wahuni wamehack forum ya dr slaa.nina wasiwasi na malaria sugu!
info@dwpslaa.com
Tunasikitika kwamba kuna watu wame hack forum hii usiku wa leo baada ya jana tu...
Kutokana na mazingira magumu ya kazi ya walimu, madai yasiyosikilizwa, walimu wameanza mgomo kimyakimya kwa kile kinachosemekana kuwa wanaogopa kupigwa virungu. Ukifuatilia utendaji kazi wao...
Madaktari waliorudi kazini hivi karibuni wanaandaa mgomo mwingine mkubwa.Mgomo huo uliopachikwa jina la 'Mgomo wa Ukombozi na Hadhi' uunapanga kuishinikiza Serikali kuacha maramoja kutumia fedha...
Taarifa kwa simu kutoka Inyala, Mbeya zinasema basi la Happy National limeanguka baada ya kushindwa kuumudu mteremko wa pale TAZAMA, maarufu kama Pipeline.
Habari toka kwa abiria alipanda basi la...
Wandugu naona msaada wa namna ya kujitoa kwenye vijihuduma vya kifisadi vya vodacom maana kila kukicha naletewa bili zisizo na maana, mara redio ya swaga , mara nyimbo. Sioni umuhimu zaidi ya...
Kuna basi moja linafanya kazi ya kusafirisha abiria kati ya Dar es Salaam hadi Mwanza, linaitwa Muro kila siku linalaza abiria njiani, yaani bovu ile kinoma. Mbaya zaidi linapoharibika hakuna...
inakuwaje baadhi ya wanawake hawapendi kutaja umri wao( kwa wanaowahitaji kuwa karibu nao). kadhalika na wanaume hawapendi kuulizwa kipato chao(hasa kwa wandani wao)
In 1865,Frederik Idestam founded a woop-pulp mill in southern Finland,naming it NOKIA.It rapidly gained worldwide recognition,attracting a large number of of workforce and the town Nokia was born...
Wiki iliyopita kulikuwa na tarifa iliyopostiwa hapa kwenye mtandao kuwa kuwa yule mganga wa kienyeji anayekunywa damu ya paka maarufu kwa jina la Dr. Manyaunyau is no more and there was no more...
Ndugu wanaJF, nionavyo mimi jinsi ardhi inavyochukuliwa kwa kisingizio "hatuwezi kuendelea bila wawekezaji" tunaelekea kule ambako Zimbabwe ilikuwa kabla ya kutaifisha mashamba ya wazungu. Sisi...
Wakuu mama yetu aanahitaji msaada mkubwa..
mama beatrice kantimbo mkazi wa kwembe kata ya kibamba anahitaji msada wa kutibiwa mguu nchini India kiasi cha mil 45...mguu una zaidi ya miaka 12...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.