Kukiwa na demokrasia nchi inafanikiwa kila kitu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukiwa na demokrasia nchi inafanikiwa kila kitu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulimakafu, Feb 14, 2012.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,024
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Nasema hivi kwa sababu wenzetu Zambia wamefanikiwa kuwa na demokrasia ya kweli na matunda yao yanonekana kuanzia kwenye soka na mengi mazuri yaja.Sisi ziro hata kitu kimoja hatuwezi labda ufisadi.
   
 2. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kuna tija kwenye Democrasia. Ubaya wa sisi hasa wapiga kura kwa muda mrefu tumezingatia domocrasia. Nina maana kudanganywa sana na wavivu wanaoishi kutumia kura ziwe za wizi au za kweli nadhani ulishanifahamu.

  1. Elimu yetu imefanikiwa kutuwekea ganzi ya kujitafakari na kutondolea ujasiri. Watawala wetu wamelipanga hilo na kulitekeleza kwa umahili, ufanisi na gharama ya kutosha. Ndiyo maana pamoja na hali ngumu ya maisha, mtu akipewa ubwabwa wa siku moja na mamuzi yanakuwa ya siku hiyo hiyi na kuishia siku hiyo hiyo.

  2. Dola kwa sasa ni kisiki na kizingiti cha democrasia kwa TZ. Kwa sababu watumishi wakuu wa dola wana maslahi (ya ufisadi) na watawala kwa kilindana.

  Ila nami nashabikia ushindi wa Zambia kwa sababu ni dhahiri unaonyesha tija ya mabadiriko yanayotakana na democrasia kwa vitendo.

  Lakini tusisahau pamoja na watu kujinyonga kwa sababu yo yote ile, si rahisi watawala wajinyonge kwa ajili ya tija ya democrasia.
  Mfano wa hivi karibuni MaDC wasipokuwepo kwenye mchakato wa Katiba Mpya CCM watakuwa wameondolewa uhai wa mbinu zao chafu za utekelezaji wa Domocrasia. Ndiyo kujinyonga kwenyewe HAWATHUBUTU, HAWAWEZI KUGEUKA JIWE.
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,024
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimeukubali sana uchambuzi wako.Tunaminywa sana demokrasia nchi hii.
   
 4. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  It seems hujui hata maana ya democracy.Uliingizwa mkenge na elimu ya ki-freemason na wewe ukaamini ulichofundishwa ni kweli.Fungua macho uone.Na kwa kuchukua kombe la Africa unadhani wame-win kweli kweli,wanafukuza upepo!There are better things to do.
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,024
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Tumetoka mbali aiseee...................
   
Loading...