Sifa gani za kufungua voda shop au kuwa super dealer? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa gani za kufungua voda shop au kuwa super dealer?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Godwine, Feb 15, 2012.

 1. G

  Godwine JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kwa yeyote anayejua sifa za kupata uwakala wa vodashop na superdealer yaani watu wanaouza mpesa wawe wananunua balance kwako kwa jumla hili waende kuuza kwa wateja wa rejareja
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nenda kule jukwaa la biashara, kuna mtu katoa maelezo pale. Anasema yeye ni super dealer
   
Loading...