Network ndani Bank Tanzania nzima hakuna! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Network ndani Bank Tanzania nzima hakuna!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Feb 15, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tangu asubuhi ya saa mbili oo nusu nipo ndani ya benki ya NBC na hapa Meru Branch Arusha na nikaenda mpk pale Uhuru na hakuna Network na hbr waliopokea ni kwmb karibu benki zote hapa Nchini hakuna network.

  Je? Kwa walioko benki zingine hili ni kweli?

  TTCL hili mnalijua? Ama imeshakuwa desturi ya kwetu kupuuzia vitu kama hivi?
   
 2. Kilimo

  Kilimo JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  hata huku mbeya kwa NBC hakuna network kabisa toka asubuhi mkuu
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  mliowapa majukumu wapo kwenye valentine bado
   
 4. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  hapo sasa tatizo litakuwa benk sio isp mana kama ni ttcl mbona benk nyingine poa tuuuu
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkubwa!

  Mpk sasa bado nimo ndani ya NBC BANK na tetesi nyingi tunazopata kupitia kwa baadhi ya wateja waliomo humu zinasema hata NMB,CRDB na hata vile vibenki vingine vya wizi navyo vyote hapa A town hawana huduma kisa ni hii hii ya NETWORK.

  Mkubwa kama una wadau huko lengwa hebu sema nao tujue zaidi chanzo ni nini!

  Ama ndiyo tuseme Saint Ivuga ndiyo kamaliza kwa kusema waliopewa majukumu bado wapo kwenye siku ya wapendanao?
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mmh litakua tatizo lao wenyewe,hawa mabank mara nyingi wanakua na reduntant links maana moja ikifeli nyingine inapick maybe network problem ya LAN yao! Wajaribu kucheck na watu wa IT.
   
 7. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,224
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  bongo dsm huku no problem, nimetoka BARCLAYS BANK kudeposit 1,239,000 network is okey. teh teh
   
 8. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Hiyo ni janja ya kuhamishia pesa nje ya nchi!
   
 9. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,723
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  mkuu kwani lazima utujuze na kiasi ulichoweka? Au unakatabia ka nshomile
   
 10. n

  ngokowalwa Senior Member

  #10
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nadhani ni tatizo specific kwa NBC , sehemu zingine zinazohudumiwa na ttcl zinatoa huduma kila kona ya nchi
   
 11. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #11
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Hahaha Kumbe umeshalipa ile pesa niliyokuazima, naomba unitumie hiyo slip.
   
 12. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wajanja hao wanadeposit tu hata kama hamna network,pita ATM uhakikishe

   
 13. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wakuu ndiyo network imerudi kwa mtindo mmoja na hakika watu wamefurika na hata wengine waliokuwa wanawahi nafasi wamezuiliwa hapo nje baada ya saa tisa kamili kugonga na ndiyo muda lengwa ya kufunga.

  ANGALIZO::
  Tangu asubuhi hakuna network na hawa maaskari wanajua kbs na muda huu ndiyo network imerudi sasa si wangetoa hata mpaka saa tisa na nusu ndiyo wafunge.

  Shida niliyoona ni kwamba hata hw maaskari elimu yao ya darasani ni ndogo sana.

  Tangu asubuhi wanainchi wako pembezoni mwa benki lakini muda huu ni soo tena kuingia ndani!

  Kuna kazi kweli kweli!
   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Wanatumia fweza iendelee kuwazoea.
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  hahahhhhaaa wabongo ....... Utawajua tu
   
 16. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #16
  Feb 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wana mambo kweli kweli!

  Sijui ni misifa!
   
Loading...