Radio Za Bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Radio Za Bongo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkereketwa_Huyu, Feb 15, 2012.

 1. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,122
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Kwa nini radio za Bongo hupenda kutupigia nyimbo za kipuuzi redioni wakati tuna muziki wetu wa asili? Muziki wa fleva uwe unapigwa asili mia kumi tu kwani hauna maadili yeyote yale katika jamii yetu na uwe unapigwa asubuhi tu ili watoto wapate kusikia nyimbo za kibigijii. Radio za bongo tuwekeeni taarab, bongo dansi, chakacha, kibao kata nk...ila kwa flags mnachemsha, hatuzitaki tena big hii zenu.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,515
  Likes Received: 19,933
  Trophy Points: 280
  wewe unataka vita wewe..ungetoa mifano
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Nashangaa nyimbo za mtoni wanaziplay zikiwa clean(edited for radio use)-ambao wengi hatuelewi kina 50cent lil wayne wanaimba nini,cha kushangaza hizi ambazo tunazielewa za kiswahili wanacheza Dirty version khaaa sio ujinga huu?

  Eg. 1.Mpenzi usiongeze tayari nishaloa
  2.Tingisha kama imekwisha(Hapa demu anatingisha wezere dembendembe)
  3.Mahaters wote nawaona K badala ya P kwenye Puma
  4.Njaa imezidi mjini hata mala.ya-usije mjini
  5.Maplayer haters wanazidi kuwakawaka nawapa dole la kati.I don't care mazafaza-ngwair

  Mtoni:
  1.Whip whip(edited) apart than I put myself together ymcmc double m we rich 4ever
  2.I flip the (edited) and the index finger follow-dueces
  3.We got (edit) the size of lil bow wow whatchu know about (edit) equiped with (edit) -wanksta

  Waache ujinga nyimbo za kingeleza wanapiga clean version za kiswahili wanapiga dirty version
   
 4. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye nyimbo za bongo fleva huwa sielewe chochote, hivi wakiimba kama nyimbo zingine za dansi lakini kwa mahadhi ya hiyo fleva yao haitawezekana?
   
 5. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,122
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Sasa ndiyo uone kuwa wanamuziki wa TZ are useless. Cha kusikitisha utaona wanapewa air time nyingi wakati wanachokiimba hata wenyewe hawakijuwi. Radio za bongo plz tieni akili kichwani, it's time to ditch fleva music.
   
 6. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Mziki wa bongo flava umeingiliwa na wabana pua ambao mashairi yao ni mepesi mno. Wanaimba nyimbo hata watoto wadogo wanaimba. Utasikia mtoto mdogo tena wakike anaimba dushelele
   
Loading...