Wabunge Waiogopa JF?

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
9,189
6,323
Najuiliza hawa wabunge wanaopoteza muda wao bungeni kuipinga JF wanaogopa nini? Tumchukulie huyu mchungaji Rwakatare, nani asiyejua yeye ni mwizi? Anatumia tu uchungaji kujificha. Je, kumuanika hadharani ni kosa?
 
Wasafi wote hawaiogopi JF na baadhi yao wako hapa..ila vilaza wezi na waoga ndio wanataka JF ifungwe
 
Ukiona mtu anapinga kitu bila sababu ya msingi jua ana matatizo mazito!
 
Tatizo ni kwamba pale wanapotafakari kama huyu hapa mnawasingizia kwamba wanasinzia:-
 
JF sasa hivi imekua tishio kwa sababu inaweka kila kitu wazi kama huyo mama siri zake nyingi zinafumuka kupitia humu hivyo lazima aipige vita.
 
Back
Top Bottom