Wakenya walivyo tuzidi maarifa na kigamboni yetu.

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Wakati watanzania tukiendelea kipigwa butwaa na wakenya wakiendelea na ujenzi wa uwanja mkubwa nawa kisasa wa ndege karibu kabisa na mpaka wetu na huko rombo rongai,sasa wameanza ujenzi wa mji mkubwa na wakisasa kuliko kigamboni utakao itwa konzo city.huku wakituachu watanzania tukìpiga blabla bila vitendo,tembelea wavuti hu ujionee www.konzocity.co.ke
 
Hakuna cha ajabu wao kujenga uwanja na mji,s,huwezi kuifananisha kenya na tanzania kwa mambo mengi,acha wajenge na sisi tutajenga kigamboni,mwanza itakuwa califonia na arusha london.
 
Hebu ona hoja nyepesi za kujifariji za kada ***** la maggamba hapo juu! Lazima tukubali TZ chini ya uongozi wa ccm tumekwama!
 
Hakuna cha ajabu wao kujenga uwanja na mji,s,huwezi kuifananisha kenya na tanzania kwa mambo mengi,acha wajenge na sisi tutajenga kigamboni,mwanza itakuwa califonia na arusha london.

Nimependa uzalendo wako mkuu,lakini usisahau uhalisia wa Mambo hauko hivo
 
Hakuna cha ajabu wao kujenga uwanja na mji,s,huwezi kuifananisha kenya na tanzania kwa mambo mengi,acha wajenge na sisi tutajenga kigamboni,mwanza itakuwa califonia na arusha london.

hio konza wanaitangaza kila siku kwenye vyombo vya habari sio sisi mpaka uweze kuingia kenye net ,kuhusu viwanja vya ndege juzi wamefunguwa uwanja mkubwa international pale kissumu na taveta unajengwa pembeni kabisa mwa mpaka wetu na wao sisi daraja la kg tangu miaka 35 sasa ni ahadi tuuuuuuuuu

Hivi ule mpango wa kujenga uwanja mpya wa kisasa wa ndege Dar umeishia wapi? Wameshaanza au ndo bado "tunajipanga" kama mtoto wa mkulima Pinda anavyosemaga? Kuna anayejua atujuze maana yale mabati yaliyozungushiwa pale kwa kweli ni muda umepita sasa.
 
Ushaambiwa kenya middle class ni 44% while tanzania ni 12%,kwanini wasi-invest wakati engine(middle class) ya kudrive economy wanayo?
 
Wakati watanzania tukiendelea kipigwa butwaa na wakenya wakiendelea na ujenzi wa uwanja mkubwa nawa kisasa wa ndege karibu kabisa na mpaka wetu na huko rombo rongai,sasa wameanza ujenzi wa mji mkubwa na wakisasa kuliko kigamboni utakao itwa konzo city.huku wakituachu watanzania tukìpiga blabla bila vitendo,tembelea wavuti hu ujionee www.konzocity.co.ke

Mtoa mada,
Kwanza, kichwa cha habari yako na content haviendani (pia unaweza kutueleza ni watu wangapi humu ndani wanaoupenda/support mradi wa Kigamboni). Pili, Konza ni mji wa teknolojia na sio type ya mji kama wa Kigamboni, Tatu, jibu la Konza ni Raphta City ambayo itajengwa hapo hapo Dar...endelea....

Tanzania Answers To Konza Technology City With “Raphta City”
Posted In Business - By Robertalai On Tuesday, April 19th, 2011 With 2 Comments

In February, we reported that Konza Technology City’s funding was approved by the Kenyan government. Now Tanzanians don’t want to be left behind. The Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH), SEACOM and a group of local and international investors are formalizing a public-private partnership (PPP) agreement to jointly develop an ICT park in Dar es Salaam.
New-ICT-Park-at-Konza.jpg

The park will be named Raphta City will help in facilitating innovation while creating quality jobs and modernizing the region’s ICT landscape.

COSTECH Director General, Dr Hassan Mshinda, claims that the park will be the first ‘smart village’ geographic cluster of its kind in East Africa and completely ignoring the fact that Kenya is developing such a village. Anyway, we are really waiting for who will be the first to develope the ICT Park.

Raphta City will be enabled by high speed broadband access and high end ICT infrastructure. The group say that the the name Rhapta City comes from an ancient trading centre believed to have been located where Dar es Salaam stands today. The ground breaking is expected in mid-2011. The park will host ICT small and medium enterprises (SMEs), established multinationals, IT services, business process outsourcing (BPO) call centres, online education, community public space, and an incubation centre for innovation hosted by COSTECH according to the statement.

Source:
Tanzania Answers To Konza Technology City With “Raphta City” | Techmtaa
 
sisi tubaki tu kashabikia vyama na nchi za wenzetu,ndiyo kipaji chetu wtz na bado.zambia nayo inakuja kasi si maneno tu na usanii....

Great observation tabia mbaya sana hii....inasikitisha kuona jinsi inavyozidi kushamiri humu hata kwenye mambo ambayo hayahusu vyama vya SIASA...:eyebrows:
 
Wakati Watanzania wakiendelea kupigwe butwaa kwa kwa kitendo cha Wakenya kuanzisha ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege cha kimataifa karibu kabisa na mpaka wa Tanzania na Kenya huko mkoani Kilimanjaro wilaya ya Rombo Rongai,sasa wameanza plan ya ujenzi wa mji mkubwa wa kisasa na kibiashara zaidi ya Kigamboni,huku Tanzania ikiendeleza blabla nyingi bila vitendo,tembelea wavutu hu ujionee. www.konzocity.co.ke
 
Aaah huku si tumebaki kuvuana magamba ! Wenzetu flyovers zimeanza kazi Nairobi.
 
Ukitaka kujua kama sisi tuko nyuma tazama JF ilivyokuwa 5 years ago na sasa hivi utapata jibu lako
 
Mkandarasi yuko eneo la kazi,
Mchakato unaendelea,
Tunafanya upembuzi yakinifu,
Tunatafuta fetha kwa wafadhiii,
jamani
tumechoka na hizi kauli tunatakavitendo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom