Umhimu wa kuhakiki mali za viongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umhimu wa kuhakiki mali za viongozi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kakapeter, Feb 15, 2012.

 1. k

  kakapeter Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu emu nisaidieni hili,ni miaka mingi sana nimesikia kuna uhakiki wa mali za viongozi nchini ila sijawahi sikia hatua zimechukuliwa dhidi kiongozi ya kiongozi.Najua hili zoezi linatucost pesa bila shaka nyingi na mwisho wa siku halitunuifaishi kwa lolote bila shaka kwa sababu ya mfumo wa kulindana uliowekwa na Serikali yangu?Je,tunasababu yoyote ya msingi kuendelea kuunda sekretarieti kufanya hili zoezi?Tumebuni mbinu mpya za kufahamu mali halisi za hawa viongozi au tunaishia kwenda sebuleni kwao tu kuangalia wana TV ya nchi ngapi na sofa za bei gani? MUNGU IBARIKI TANZANIA
   
Loading...