Fikra thabiti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fikra thabiti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MKILINDI, Feb 15, 2012.

 1. MKILINDI

  MKILINDI JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  kama mtu unaye fikiri kwa ufasaha, uchaguzi ujao ni vigezo vipi utavyotumia kumpa mtu kura yako na kukuongoza
  1. Je ni kwa sababu waliopo unahisi wameshindwa?
  2. Je ni kwa sababu unataka kujaribu wengine nao uone watafanya nini?
  3. Je ni kwa sababu waliopo umewachoka?
  4. Au ni kwa sababu una mapenzi na mtu unayefiri anaweza?
   
Loading...