Du..noma, sisikilizi tena muziki wake, nikienda kwenye mnuso muziki wake ukipigwa nitatoka nje kupunga upepo.
French judge charges Congolese singer Olomide with rape - Africa |nation.co.ke...
Wana JF,
Nimjuavyo Mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Olonyokie Olesendeka:
1. Ni mtoto wa kifugaji (mmaasai) wa kijiji cha Lendanai
2. Alisoma Moringe secondari- Monduli
3. Alipata division 0...
Salaam wana Jamvi!
Mimi nikiwa mkereketwa mmoja wapo wa Jamii Forums, nauliza utaratibu wa kuchangia fedha ktk kikundi hiki ili kizidi kuimarika zaidi.
Mwenye kufahamu utaratibu anijuze.
Naandika ujumbe huu wadau kwa masikitiko makubwa sana,ni kwanini mtandao wa simu wa tigo unakua na wizi wa waziwazi hivi?
Leo ni karibu siku ya tatu napokea ujumbe wa ajabu ajabu kutoka namba...
Naomba msaada wa mawazo Wakuu. Nina Mitsubishi RVR (1996) ambayo gear box na engine yake imekuwa ikiniletea matatizo ya mara kwa mara. Kuna mtu aliniambia kuwa inawezekana kubadilisha hivyo vyote...
Naandika tena kuyataka makampuni ya simu kuweka wazi gharama zao za kupiga simu badala ilivyo sasa ya kuibiwa kwa kukatwa gharama kubwa bila taarifa. Kwa mfano Tigo wanadanganya kuwa gharama ya...
Wajameni, ajali imetokea eneo la Mbezi Kimara. Likihusisha basi la kampuni ya ABOOD lililokuwa linatoka Morogoro kuelekea DSM. Inaelezwa kuwa kulikuwa na msafara wa kiongozi, hivyo dereva wa basi...
Wadau naomba kuelimishwa kuhusu kesi za ubadhirifu wa mapesa ambazo watuhumiwa walifikishwa mahakamani. lakini kwa sasa mambo yamekuwa kimya sijui ni mimi tu sipati muendelezo wa habari kuhusu...
Naomba kuelimishwa,mamlaka ya mapato ktk kukadiria kodi wajasiriamali kwa mwaka huu wa 2012-2013,hapa ktk wilaya ya tunduru,wanahitaji bank statement ya mwaka uliopita na kwamba makadirio yate...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Cyril Chami
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Cyril Chami, ameibuka na kusema suala la kifo ama uzima anayelijua ni Mwenyezi Mungu huku akisema afya yake ni...
Umeme wakatika wakati wanafunzi wakifanya mtihani.Ilikuwaa yapata saa 1:30pm hivi toka mtihan uanze na kuisha ilikuwa ni saa 2:00pm.Hivy Utawala ukatoa tamko kuwa mitihan ikusanywe hata kam...
ASKOFU Edson Mwombeki wa Kanisa la Tanzania Evangalism Field lililoko katika Manispaa ya Shinyanga, ameeleza nia ya kugombea ubunge ifikapo 2015 kwa madai kuwa wabunge walioko sasa hawana utukufu...
TANZANIA imeadhimisha miaka 50 ya uhuru, huku ikiwa na changamoto kubwa ya ongezeko la watoto wa mitaani na wale wanaoishi katika mazingira magumu.
Ongezeko hilo la watoto wanaoishi katika...
In the thread: Is there life somewhere else in the universe for real? It has become apparent that the discussion has moved into two main directions. The first involves evolution and creation...
Mkutano wa sita wa Bunge ulimaliza wiki iliyopita huku serikali ikiomba kupewa muda zaidi wa kufanyia kazi maazimo ya Bunge juu ya taarifa teule ya kamati ya Bunge uliyoundwa kuchunguza vitendo...
Mama Lwakatare kwa kutumia ulaghai na kofia ya kuwasaidia watoto yatima aliuziwa nyumba za shirika la bima pale tabata Bima.
Alidanganya kuwa anataka kufungua kituo cha watoto yatima ili auziwe...
Yule kijana aliyechafua hali ya hewa mwaka jana katika mchakato wa katiba mpya na akaropoka kwa lafudhi ya kipemba "yakhe nyie wabara hatuwapendi" lakini kwa mara ya tano namsikia akiongea lafudhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.