Ssi wakazi wa kijiji cha kichangani kata ya maweni wilaya ya Tanga mwenyekiti wa kijiji amepoteza sifa za uongozi kwa kushindwa kuitisha ya kawaida toka aingie madarakani mwaka 2009
Tunaomba...
Kabala ya kuingia ktk Serekali , mengi ulituahidi, moja kubwa uliotuahidi kwamba utapigania maslahi ya Mzanzibar popote ulipo.
Lakini Mungu ni mkubwa, anajua kila mtu liliomo moyoni mwake.
baada...
Hello Tanzania!
I'd like to thanks God for this beautiful country. Though Tanzania we don't value our country.
Tanzanian politician, you should know how to encourage people to...
hatimaye wana igunga waanza kuona cha mtema kuni kutokana na daraja la mbutu,ambalo wakati wa kampeni wa uchaguzi mdogo wa igunga waliahidiwa kuwa lingejengwa ndani ya siku 90!hadi sasa hakuna...
Nisingependa kuona CDM kinakuja kupoteza jina lake kama ilivyo NCCR(1995) walikua moto sana, gafla wakaja CUF (2000) ambao sasa hivi limebaki jina tu. 2010---todate CDM nizaidi ya moto,
je...
kwa maoni yangu, kutokana na safari nyingi za rais wetu mheshimiwa Dk kikwete,zenye kugharimu mahela kila uchao,ninapendekeza kama ifuatavyo.nikizingatia kwamba nchi hizi ziko karibu yetu na tuna...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amewasili katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka kwa ajili ya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo.
Katika safari hii Ban Ki-moon alipangiwa kukutana na Rais...
Hili ni moja kati ya matukio 1000 yanayofanywa na askari wa jeshi la polisi.
Iko hivi, kuna jamaa nilipata kusoma naye kitambo na sasa ni polisi kitengo cha FFU.
Juzi polisi huyu kaniambia kuwa...
26th February 2012
B-pepe
Chapa
Maoni
Wakamilisha ripoti, waipeleka kwa Spika
Mwenyewe asema hatma anayo Spika
Waziri wa Viwanda na Biashara, Cyril Chami
Wabunge...
Richard Angel Matembelea Tanzania nia kuja na documentary fupi kuhusu some parts of Tanzania. Hadza or Hadzabe people: Wanaishi mapangoni, hawana nyumba wanaishi katika karne ya stone age. Je...
Hili swali nimejiuliza mara nyingi bila majibu, ila naomba leo mnisaidie kunipa mwanga wa majibu juu ya swali. Tafdhali nisaidieni.
Swali: Hivi Tanzania ni nchi changa au nchi kiwete...
MJANE Specioza Kamala ameendelea kusotea mafao ya mume wake aliyefariki miaka 13 iliyopita, huku mwaka huu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ikimwandikia marehemu barua ya kumtaka ajaze fomu...
Katiba ya tanzania inatambua majeshi ya ulinzi na usalama manne,JWTZ,JKT,POLISI NA MAGEREZA.Ila cha ajabu majeshi mawili JWTZ NA JKT ndiyo yapo chini ya Wizara ya ulinzi na usalama na yako chini...
Makamu wa Raisi amepita eneo la Kiwira,watoto wa shule za msingi na baadhi wa sekondari waliambiwa na walimu wao wafike barabarani kumpokea mheshimiwa wakiwa na uniform,matokeo yake...
Mwenzenu ninakwazwa sana na muda wa kuanza makusanyiko/shughuli mbalimbali hapa kwetu:
Harusi/send off nyingi nilizohudhuria kadi za mialiko zinaonyesha kuanza tafrija saa 12.30 au saa 1 jioni...
JESHI la Polisi nchini limeingia katika kashfa nyingine baada ya kijana Charles Patrick Paulo mkazi wa kijiji cha Mundemu wilayani Bahi mkoani Dodoma kulishushia tuhuma nzito za kupora fedha na...
Ni Breaking News niliyosikia kupitia Radio kongwe ya TBC habari kwa ufupi saa tano kamili usiku:
Sijapata kumsikiliza yule mtangazaji vema kutokana mazingira niliyokuweko.
Ila nimepata...
Serikari kupitia wizara ya nishati na madini ilitoa mkakati wa namna yakukabiliana na tatizo la umeme jambo ambalo lilipelekea bunge kupitisha bajeti ya wizara hiyo, na kwa taarifa ya TANESCO...
wakuu tuwe waangalifu na tutoe taarifa kwa mamlaka husika....
TAARIFA KWA UMMA
TAARIFA KUHUSU UWEPO WA DAWA BANDIA YA KUTIBU UGONJWA WA MALARIA IITWAYO ELOQUINE (Quinine Sulphate 300mg USP)...
Dawn is breaking over Heathrow airport and, nearby, its time to get up and look for work.
Just above where everyone is sleeping, the traffic has already started to thunder along the M4, sending...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.