Mfumo wa majeshi ya tanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfumo wa majeshi ya tanzania.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by EVANCE HENRY, Feb 26, 2012.

 1. EVANCE HENRY

  EVANCE HENRY Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 25
  Katiba ya tanzania inatambua majeshi ya ulinzi na usalama manne,JWTZ,JKT,POLISI NA MAGEREZA.Ila cha ajabu majeshi mawili JWTZ NA JKT ndiyo yapo chini ya Wizara ya ulinzi na usalama na yako chini ya mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama DAVIS MWAMNYANGE.POLISI NA MAGEREZA, wapo wizara ya mambo ya ndani chini ya MWEMA NA NANYARO.Kama yote yanatambulika kama majeshi ya ulinzi na usalama ,kwa nini yasiwe wizara moja?na marupurupu yao yasiwe sawa?Cha ajabu zaidi jeshi la magereza halitambuliki zanzibar.
   
 2. M

  Martinez JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 518
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Huo ni muundo tu. Na mgawanyo unao uona ni kutokana na majukumu kutofautiana. JWZT ambapo ndani yake kuna JKT, LFC, Navy, na AFC linahusika na Ulinzi wa mipaka ya Nchi. Police Force wanahusika na Usalama wa Raia japo wamekuwa wakiua raia. Muundo huo upo hivyo kwa nchi nyingi. Ni muundo mzuri japo watendaji hasa Polisi wengi hawajui wajibu wao.
   
Loading...