Ajali mbaya tena!! Ndugu zetu wa5 wapoteza maisha!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali mbaya tena!! Ndugu zetu wa5 wapoteza maisha!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Feb 25, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ni Breaking News niliyosikia kupitia Radio kongwe ya TBC habari kwa ufupi saa tano kamili usiku:

  Sijapata kumsikiliza yule mtangazaji vema kutokana mazingira niliyokuweko.

  Ila nimepata akisema ajali mbaya iliyotokea leo alasiri Jiji Mbeya imeua watu watano.

  Sikubahatika kumnukuu vema lakini habari ndiyo hiyo Ndg zanguni!

  Mwenye hii kwa undani atujuze wadau!

  Marehemu wote mlale kwa AMANI ya Bwana na hata wale wote majeruhi MUNGU akawajaze nguvu na mpone mapema maana hakika Mungu anaweza yote juu ya Mbingu na chini ya juu.

  Nawakilisha!!
   
 2. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  may they RIP

  labda kusikiliza news tena au kusubiri Magazeti au kusoma mitandao.
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  JF ni kila kitu hakika!
  Nina IMANI wadau watatuletea flu ajali ilivyokuwa!
   
 4. w

  white wizard JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  ni kweli,ajali imetokea leo mchana wilaya ya mbozi baada ya magari mawili fuso na costa kugongana uso kwa uso,wa2, 5 wamekufa na wengine 16 wamejeruhiwa.SOURCE TBC TAIFA.RIP
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  MUNGU mwenye uwezo tunakuomba usitupite!
   
 6. MONSI WENGA

  MONSI WENGA Member

  #6
  Feb 26, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Ni kweli, ajali hiyo nimeishihudia mimi majira ya saa saba mchana maeneo ya kijiji cha Chimbuya-Tunduma nilikuwa na gari nyingine nyuma ya coaster ambayo ilikuwa inatokea Tunduma kuelekea Mbeya na Fuso lilikuwa likitokea Mbeya. Watu watano walifariki palepale na wengine wamejeruhiwa, jamani! omba Mungu usishuhudie ajali mbele yako inatisha. Kwa wale waliofariki raha ya milele uwape eebwana na mwanga wa milele uwaangazie.
   
 7. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mungu azidi kutuhuru100
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,342
  Likes Received: 19,522
  Trophy Points: 280
  rip ndugu zetu
   
 9. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  As long as polisi hawafanyi kazi zao ipasavyo, as long as madreva wanaosababisha ajali hawachukuliwi hatua zozote ikiwa pamoja na kufungwa jela, na as long as madreva hawaheshimu sheria za barabarani, hizi ajali mbaya zitaendelea kuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku.
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Pole sana Best!

  Mi nilijua tu ya kwamba members wa Jf wapo kila mahala.
  Mbona haujatujuza baada ya tukio?
  Ama ulipatwa na woga mpk hata ukajisahau.

  Pamoja Best!
   
 11. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  aliatwa na post traumatic stress disorder. Usiombe kushuhudia ajali ikitokea. Utahisi wewe ndo unaparamiwa na gari na mwili mzima unalowa jasho.
   
 12. Mbaliche

  Mbaliche JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  pole sana majerui na walio poteza maisha.
   
 13. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #13
  Feb 26, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  RIP ndugu zetu na poleni sana majeruhi wote.
   
 14. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #14
  Feb 26, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  RIP ndugu zetu wapendwa na poleni sana majeruhi wote.
   
 15. only83

  only83 JF-Expert Member

  #15
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hizi ajali mpaka lini? Huzuni ni kuwa nyingi zinasababishwa na uzembe na kutojali kwa madereva wetu.Lakini pia sisi wananchi/abiria tunachangia.Mtu anaendesha gari kwa mwendo wa kutisha lakini bado mnamchekea.Hii ni mbaya sana na itatumaliza.
   
 16. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #16
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Pole kwa wote waliojeruhiwa kwenye ajali na Mungu awalaze mahali pema peponi wale waliopoteza maisha yao!

  Naamini tutaendelea kufa hivi hivi kama panzi hadi tutakapoamua kutumia vichwa vyetu kujitafutia njia bora za kuishi hadi tuuone uzee wetu!

  Tuliowapa kazi wameshindwa kuifanya ila bahati mbaya na sie tumekubali kutumikia watumishi wetu wenyewe...Hadi tutakapoweza kujikomboa...vinginevyo kila mtu asubiri zamu yake!

  Inasikitisha sana tena sana,

  Babu DC!!
   
Loading...