Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

wakuu mtuanatumia hela nyingi sana kuingia madarakani ndio mana nchi inashindwa kuendela matatizo kila sehemu umeme maji shida vyakula vinapanda bei wananchi tunalala sana tunataki tuamke...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari ndugu zanguni wana j.f nashangazwa sana na majina ya vyamavyetu vya siasa,hivi tunashindwa kutumia majina ya kwa lugha yetu ya taifa,me nahisi niukosefu wa uzalendo,na naona hii ni bado...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau yule waziri mwenye dhamana ya utawala bora yuko live,naomba mumsikilize kama ataongelea mauaji ya Songea na hatua stahiki tunazotarajia kusikia toka serikalini.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Akiwa kwenye kikao na ma technical assistants mkuu wa mkoa wa Arusha amemuagiza RAS awatawanye wachaga toka ofisi ya mkuu wa mkoa arusha. Anadai mkuu wa mkoa aliyeondoka ndugu Isdore Shirima...
0 Reactions
132 Replies
15K Views
Yamekamatwa mayai yanayodhaniwa kuwa feki lori nzima huko kitunda Dsm! Uchunguzi unaendelea. Source, tbc1
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natarajia kusafiri kwa basi jumanne ijayo kutoka Mwanza kwenda Dar Es Salaam.Nisafiri kwa basi lipi kati ya haya:Sumry High Class,Ally's Sports na Green Stars? Usiku mwema wakuu.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana Jf naomba tuwekane sawa kuhusu jambo hili!Kumekuwa na desturi ya kuwaenzi viongozi wakuu wa nchi kama rais au waziri mkuu pale wanapoondoka madarakani,huwa tunataja majina kwa kuanza na Neno...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Sisi watanzania tunaendekaza sana ushabiki kwenye siasa na kuigeuza fani hii muhimu kuwa ni jukwaa la wahuni kurushiana maneno na kupiga porojo badala ya kuwa chanzo cha fikra jadidi za kutanzua...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Mahali ni pale pale. Msafara uleule. Spidi ile ile ya mbio za mwenge. Wakati msafara wa Makamu wa Rais Dk. Mohammed Bilal ukipita eneo la Kabwe- Mwanjelwa Mbeya kuelekea mashariki ya jiji hili...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Of latest nimesikia kuwa makambu wa raisi kasimikwa kuwa Malafyale uko Rungwe,while uko Rukwa pia last week. Kama iyo ya Rungwe kasimikwa kwa kipi hasa alichokifanya maana nimegundua huu umekuwa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mfanyabiashara mashuhuri nchini leo ametangaza rasmi kuwa atajitolea msaada kuchimba visima 600 nchi nzima, baada ya tamko hilo waziri wa maji mh mwandosya alimtembelea nyumbani kake upanga...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Hali nimbaya,mgao usikokuwa nataarifa!Mara mtu unavaa t-shirt kazini bilakupenda.Nahii kimara upande wakushoto kama unatoka town ndio vibonde wao!Watoe ratiba au waseme tunakata for a month watz...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Anaongea channel ten kuhusu sheria ya mabadiliko ya katiba
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana JF? Nimefiwa na Babamkwe wangu Mwalimu Juma Ally Nzumbe kwa wale watu wa Nzega wanaomfahamu. Msiba upo Pugu Kajiungeni kichangani kona ya kisarawe kwa wale wanaomfahamu na wangependa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
1.Wenye haki wakiwa na amri watu hufurahi bali mwovu atawalapo watu huugua 2.mwenye kutawala akisikiliza uongo, watumishi wake wote watakuwa waovu 3.Kiongozi aliyepungukiwa na akili huwaonea...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari kutoka za ndani ya New Habari 2006, kampuni ya Rostam Aziz inayochapisha mahazeti ya Mtanzania, Rai, The African, Dimba na Bingwa zinadokeza kuwa Rostam Aziz amekwishafanya mazungumzo na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamiiforums wenzangu naomba kupewa updates za ile saga ya mkuu wa wilaya ya igunga pale alipovuliwa hijab yake. Maana ilivuta hisia za watu wengi sana na makundi mbalimbali katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimetembelea ofisi nyingi za tanesco nyanda za juu kusini mbeya,songea,iringa,etc,nimegundua kuna wafanyakazi wengi sana wa tanesco kutoka zanzibar wasio na viwango vyovyote vya elimu na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimemsikia Nape akisema kupitia TBC1 kuwa ETI si lazima aliyeshinda kura za maoni Arumeru Mashariki kupitia Chama Cha Magamba(CCM) akateuliwa na vikao vya CCM kuwa mgombea wa Chama hicho katika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaaaaam wana JF, nina kampuni yangu inadeal na ununuzi wa korosho, nina hitajika kufanyiwa auditing kampuni ipi kati ya hizi ina reputation na value for money?? pWC TANNA SREEKUMAR INNOVEX...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom