CDM imejifunza nini toka kwa NCCR pamoja na CUF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CDM imejifunza nini toka kwa NCCR pamoja na CUF?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Going Concern, Feb 26, 2012.

 1. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Nisingependa kuona CDM kinakuja kupoteza jina lake kama ilivyo NCCR(1995) walikua moto sana, gafla wakaja CUF (2000) ambao sasa hivi limebaki jina tu. 2010---todate CDM nizaidi ya moto,

  je, tumejifunza nini wana CDM kutoka NCCR na CUF? wapi walikosea, wapi walifanya vizuri na nini sababu ya kuanguka kifo cha mende?
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ni kuelewa tu kuwa CHADEMA ni Mbowe na Mbowe ndiyo CHADEMA.  Kilichotokea kwa NCCR Mageuzi ni kugombea madaraka ndani ya chama kulikopelekea kupotea kwa akina Masumbuko Lamwai.  Hivi karibuni tumeshuhudia vurugu ndani ya vyama zinazotokana na kugombea madaraka.  Hamad Rashid amefukuzwa CUF kwa kuonyesha nia tu ya kutaka kugombea ukatibu mkuu wa chama akasahau kuwa nafasi hiyo ni ya maalimu Seif Sharrif Hamad tu, pia tumeshuhudia kufukuzwa kwa David Kafulila kisa tu anamhujumu James Mbatia baada ya kusahau kuwa Mbatia ndiyo NCCR Mageuzi.  Huko CDM ili pia vurugu hizo zipo japo huwa hamtaki kukubali ukweli. 
   
 3. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ni mawazo yako mkuu,lakini sababu ya CDM Kuwa imara ni mshikamano na kuwa chama chenye wanachama wengi wanaojua elimu ya uraia jumlisha na upeo wa great thinkers ambao ni wengi zaidi na hivyo kuwa chama pekee cha siasa badala ya ccm kilichopenya kila kitongoji[HIVYO KINA MIZIZI].KUHUSU M/KITI KAMANDA MBOWE NI KWELI KWAMBA NI JEMBE NDIO MAANA ALIAMINIWA KUPEWA NAFASI STAHILI
   
 4. NOT FOUND

  NOT FOUND Senior Member

  #4
  Feb 26, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wewe kweli kenge.
   
Loading...