Swali la leo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali la leo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ndyoko, Feb 26, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Hili swali nimejiuliza mara nyingi bila majibu, ila naomba leo mnisaidie kunipa mwanga wa majibu juu ya swali. Tafdhali nisaidieni.

  Swali: Hivi Tanzania ni nchi changa au nchi kiwete?

  Nisaidieni jamani.
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Feb 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Sikubaliani kabisa kusema Tanzania ni inchi changa.... Hio ni kujiendekeza! Tuna Miaka 50 ya Uhuru. Mda ambao ulikua muafaka kuweza Isongesha nchi mbele kama wenzetu walokua in the same positions 50 years ago mfano inchi za Asia. Sikubaliani na Neno Kiwete... How can we call ourselves Viwete while we are So RICH in Natural Resources ambazo zapatikana abundantly....

  Labda nirudi kwako Ndyoko... What exactly were you thinking so that we think of a more appropriate word of defining our Nation in the lines of your Meandered thoughts?
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Madam, you have even confused me more! Thinking of TZ race competition, I see TZ to be as good as a disabled who can't compete with the fittest. When you think of TZ in view of the way it does things, there is no distinction between it and toddlers. Viewing it in terms of professional and personnel, natural and physical resources we have and and compare them with level of development achieved, you may get problem to reach a conclusion.

  Everyone you think is potential to pulling this country to a different level of success, when chosen to do so, does not perform to the expected level. We complain bad policies and legislations, wrong prioritisation of issues, outdated administrative systems..you name them! All these are happening at arm's length of citizens, the citizens are the ones who put the government in power, yet when it comes to making changes for their betterment, you become as good as extant people..........how would you name a country with people having mentality of this kind?

  There are those who say this is African democracy! If that is the case, then one may be tempted to believe those who hold the opinion that to live in African country and be ruled by an African leader, is more of a curse than a glory!
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Feb 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Ndyoko... Take note my answers are in blue...
   
 5. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Tatizo letu kubwa ni UMASIKINI ambao unasababisha watu wajione kuwa hiyo ndiyo hali halisi ya maisha. There are lot of Tanzanians who have given up and take poverty as part of their life. When you tell somebody Tanzania can be and must be better than this, it doesnt sink in somebody's mind. Watawala wetu wanajua hili na ndo mtaji wao mkubwa kujinufaisha. Watanzania wangekuwa na hasira za kuwa na hali nzuri ya maisha, wangejua maana ya maendeleo ni nini, hata viongozi wetu wasingekuwa wanafanya wanayofanya na tungekuwa bora zaidi.
  Hivyo basi sisi ni Viwete wa mawazo.
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Noted with thanx, passion and deep sense of appreciation!
   
 7. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  kiwete, ndg yangu
   
 8. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  Tatizo sio umaskini in search labda umaskini wa akili., Taifa kama taifa lina miaka hamsini hivo kiumri sio changa nchi imejaaliwa maliasili nyingi, madini, ardhi kubwa yenye rutuba, mbuga za wanyama , maziwa makubwa, mito mingi, misitu mikubwa, rasilimali watu (40+ million people) hali nzuri ya hewa, utulivu wa kisiasa, ukanda mrefu wa pwani toka tanga mpaka mtwara and beyond of zanzibar, gas asilia, mlima mrefu wa pili duniani na wa kwanza africa., binadamu wa kwanza aliishi hapa (olduvai gorge-kivutio cha utalii0 Sasa huo umaskini upo wapi??? kinachokosekana ni akili na utashi wa kuvitumia kwa maslahi ya watanzania wote. ufisadi, wizi, ubinafsi vimekuwa ndio kikwazo na kutoa mianya mingi hata ya kimataifa ya kunyonya uchumi wetu na kutuacha maskini,sisi sio wachanga wala maskini only poor minded!!
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wewe unaonaje?
   
Loading...