Mtu mmoja haofiwa kufa baada ya pick up double cabin moja yenye namba za usajili T135AKC mali yaSalehe H Salehe kuligonga daladala lenye namba T115 BGJ aina ya NISSAN mali ya M.A.Mfanga inayofanya...
Kuna mayai feki yanaoingizwa kutoka Nairobi na kuuzwa kwa Tray moja 4,000 (elfu nne) kariakoo na gongo la mboto. mayai ni mepesi saana na madogo.
MAYAI YNA KIINI CHEUPE NA KITU KAMA UZI MWEKUNDU...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda nahisi amechanganyikiwa baada ya kupewa kazi hiyo ya uspika inayoonekana wazi kumshinda. Sasa amebaki tu kuropoka na kukurupuka...
Wednesday, February 15, 2012
UNAFIKI HUU WA WANASIASA WETU HADI LINI
BY BARNABA BUKHU.
Mwaka 2008, baada ya kuibuka kwa kashfa ya kampuni hewa ya richmond, watanzania tuliamini kuwa...
Dk. Asser Mchomvu wa Hospitali ya Mission Mikocheni jijini Dar es Salaam,
akifafanua jambo kwa kutumia mchoro kuhusu mfumo wa uzazi juzi
baada ya kufanikiwa kufanya operesheni na kukitoa...
Ikiwa imebakia takribani miaka mitatu kujichukulia kilicho chao , wapo wabunge wengi waliojifanya kushindana na mkuu wa kaya kwa kutaja orodha ndefu na ahadi hewa/feki , mpaka leo hawajazitekeleza...
Wapendwa Watanzania, hasa Wataalamu wa sekta ya Ardhi: Town Planners, Surveyors, Land Officers, Valuers, Estate Agents. Mbona tumekaa kimya wakati Ardhi Yetu Tanzania inaumia na kuumizwa?
Ardhi...
Wapendwa salamu!
Familia ya Dr Estelatus Mtema inapenda kuwakaribisha ndugu jamaa na marafiki zetu wote kwenye kumaliza msiba (arobaini) ya mpendwa wetu Mh Regia Estelatus Mtema itakayofanyika...
Mi nadhani police nao wamechoshwa na utendaji wa serikali yetu,haya mauaji wanayofanya ni ishara wanajitahidi kuonyesha kwa Raia ili wachukue hatua haraka ya kuiondoa serikali madarakani.
Police...
Ridhiwani Kikwete "Makosa yetu mengine hutokana na woga; woga unaotuzuia kumlaumu mkubwa japo tunajua kuwa kakosa, au kumtetea mdogo anayelaumiwa na wakubwa japo tunajua kuwa hana makosa.
Na...
Bado naendelea kufikiria kauli ya huyu kikongwe alipoitoa hii
kauli akitetea kwa nguvu zote ile posho ya
200,000/= kwa siku. Huyu mama anaelekea kupata waimu kabisa.
Haiwezekani ashindwe...
Anaonekana ni mvivu wa kuongea
Anaongea kama hataki au kalazimishwa
Anapoongea ni kama anatangaza vita au matangazo ya vifo
No smile/facial expression
Hana mvuto kwa mtazamaji/msikilizaji...
Gavana wa zamani wa Nigeria James Ibori ameekiri katika mahakama moja nchini Uingereza kuiba takriban euro milioni 190 za serikali ya Nigeria na kuzitumia* kibinafsi na mambo ya kifahari. James...
wadau nakumbuka miaka fulani iliyopita shiling ya Mwinyi ilikuwa inatafutwa sana mara baada ya benki kuu kuiingiza kwenye mzunguko, wakati huo umri bado sana. hivi ilikuwa na madini gani maana...
hali MUH2 ni mbaya kwani kwa muda wa wiki 2 sasa theater gowns zimeadimika kwani machine ya kufulia nguo imekosa lubricant muhimu hadi leo Hii
oxygen nayo imeadimika haileweki ni lini...
Msafara wa makamu wa raisi Dr Bilal umeua mwendesha baiskeli, hii ilitokea jana wakati msafara huo ulikua ukitokea Mbeya kuelekea Iringa. Baada ya ajali hiyo msafara huo haukusimama kutoa msaada...
wakuu mtuanatumia hela nyingi sana kuingia madarakani ndio mana nchi inashindwa kuendela matatizo kila sehemu umeme maji shida vyakula vinapanda bei wananchi tunalala sana tunataki tuamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.