Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Askari polisi anayetuhumiwa kumuua mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU) kilichopo jijini Mbeya, ametiwa mbaroni na kuwekwa rumande katika kituo kikuu cha polisi kati. Habari...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mufti Mkuu wa Zanzibar amewataka Waislam wasome Kama wenzao wakiristo na waache tabia ya kulalamika kuonewa kwa kukosa nafasi katika nyazifa mbalimbali. My take. Nashukuru kwa kiongozi wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
anaelezea safari yake ya maisha na siasa.follow the link below Clouds FM - 88.4 FM Dar es Salaam - Listen Online msimamo wake kuhusu posho za wabunge:haungi mkono hoja ya kupandisha posho kwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni habari ya kuhuzunisha iliyotaka kutokea mkoani mbeya nusu saa iliyopita.kulikuwa na msafara wa mh Bilali uliokuwa unatokea tunduma kuja mbeya mjini,wakati askari wamesafisha barabara tayari...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu TANESCO walisema LUKU itapandisha mapato ili waweze kutoa huduma bora, watanzania tukakubali wafanye hivyo lakini matokeo yake ni yaleyale. Wakaja na maombi ya kupandisha bei kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu kwa mujibu wa taarifa ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG), asilimia 96 (96%) ya uvunaji wa mazao ya misitu unafanyika haramu kinyume cha sheria na taratibu na hivyo kutochangi kwenye...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Msomi mhadhiri msaidizi kutoka idara ya sayanzi ya siasa udsm bashiru ally amesema mh jakaya mrisho kikwete rais wa jamhuri ya tanzania hapaswi kukwepa tuhuma wala kupuuza malalamiko ama maoni...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo katika pilikapilika zangu za hapa na pale nilikutana na jamaa wanabishana juu ya sie wabongo kuiga vitu ambavyo haviendani na maadili ya kwetu. Jamaa wakarushiana maneno huku kila mmoja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya kuhusu namna ya kupambana na ufisadi Tanzania unakuwa mgumu kwa kuwa Mafisadi wana mamluki katika kila kona. Mfano hata humu JF wamo, sasa ni muda muafaka wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Matumizi makubwa ya nguvu na ya kutokutumia akili na busara za kawaidi yalionyesha na jeshi la polisi songea hivi karibuni,na pia huko Arusha,Mbeya iko haja ya kufanya mabadiliko makubwa sana...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Jamani wala si chokochoko, Mzee wetu maarufu sana kwa kumwaga Mipesa mitaani na kukemea mafisadi Papa na hata kufikie kupishana njia na Yusuph Manji, Siku hizi amekaa kimya sana kuliko kawaida...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Naomba niiulize Idara ya Uhamiaji ni lini nitapata pasipoti yangu, fomu yangu ya maombi nilipeleka makao makuu Kurasini tangu mwezi oktoba mwaka 2011 ,lakini mpaka sasa sijapata pasipoti...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
zipo kifanya njombe zinafaa sana kwa kupanda miti,bei ni tshs.220,000 kwa hekari,kwa anayehitaji tuwasiliane kwa 0767339181.
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Jamani naomba tusaidiane hili swala,Ukienda uwanja wa taifa Polisi wanakushawishi kutoa chochote ili ukakae sehemu utakayo,Mfano jana wakati wa mechi ya STAZ NA DRC tiketi nyingi zilizouzwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
naona kila kukicha viongozi wa nchi hii inaonekana hawajui wajibu wao!hadi tatizo lionekane kwenye vyombo vya habari hususani ITV,ndio utawaona wanaibuka na kuanza kulishughulikia,mfano toka...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
more details to come stay tuned
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Huu nadhani ni mwaka wa nne tangu tumekuwa tukizungumza na kutoa maoni kuhusu kadhia wanayopata wageni wanaoingia Uwanja wa ndege wa Dar es Salaam DIA. Sasa hebu someni hapo chini: hii nimeikuta...
2 Reactions
90 Replies
13K Views
Diwani unataka kuitwa MUHESHIMIWA wakati mtaa wako emejaa MATAKATAKA kibao, mmekalia kukusanya ushuru mpaka kwa wauza vitumbua. Shame
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je huyo mama mwenye mtoto aliye muhimbili analalamika kuwa mtoto wake aliparalaizi alipochomwa sindano afanyiwe upasuaji je alisaini ile fomu ya makubaliano kabla ya operation kuwa anaruhusu...
0 Reactions
2 Replies
971 Views
Ni kituko cha ajabu jamanindugu yangu mmoja amenipigia simu kuna mwanamke aitwae zainabuni kichaa ameingia mpaka ndani ya uwanja sehemu ya kuonyeshea tkt iitwayo checkin counter na kuleta hisia za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom