Makamu wa raisi akiwa kiwira-tukuyu

tbl

Senior Member
Mar 29, 2011
116
41
Makamu wa Raisi amepita eneo la Kiwira,watoto wa shule za msingi na baadhi wa sekondari waliambiwa na walimu wao wafike barabarani kumpokea mheshimiwa wakiwa na uniform,matokeo yake wanapotawanyika wamesikika wakilalamika hivi "ameshindwa hata kushusha kioo cha gari sasa tulikuja kufanya nini" .nawatakieni jumapili njema
 
taarifa za intelijesia zimemuonya Bilal asithubutu kuwapa cheichei wakazi wa maeneo hayo kwa sababu za kiusalama.
 
Kumbe walikuwa wanawasumbua tu wana wetu wameacha hata kwenda church
 
Mhh, anenda wap tena hayo mambio yasiwe ya kwelekea kwetu kyela. Hatuwataki kwetu labda aje na jibu kamili la ugonjwa wa mwakyembe
 
Jamani hivi huyu mtaalamu wa nyukilia ana roho ngumu kiasi hiki??Kafanyiwa vituko kibao lakini bado kang'ang'ana na Mbeya...ngoja waje wamfanye kitu mbaya huko.
 
hakufungua kioo sababu aliogopa kupingwa mawe.mbeya oyee.
 
Back
Top Bottom