Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

wakuu tuwe waangalifu na tutoe taarifa kwa mamlaka husika.... TAARIFA KWA UMMA TAARIFA KUHUSU UWEPO WA DAWA BANDIA YA KUTIBU UGONJWA WA MALARIA IITWAYO ELOQUINE (Quinine Sulphate 300mg USP)...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Dawn is breaking over Heathrow airport and, nearby, it’s time to get up and look for work. Just above where everyone is sleeping, the traffic has already started to thunder along the M4, sending...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nimeesiikia tangazo la tigo ,jamaa ameconcetrate ktk internet then girlfriend anamsemesha jamaa anajibu ndiondiotu nawza kulipata wapi nimecheki google,u tube halipo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mitambo ya mawasiliano na ya Kiufundi ya benki ya Nmb imekatika tangu saa 2.45 asubuhi.hadi sasa hakuna huduma yoyote ni msongamano matawi yote nchini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Haya mambo ya bongo mie yamenifika utocini. Hili suala la kila kituo cha television kuwa na king’amuzi chake imekaaje..? leo kama unataka kuangalia vituo vitatu tofauti vya luninga inabidi uwe na...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kutokana na niliyoyaona Imanuel Tv namshauri ndugu yetu Mwakembye aende akaombewe kwani kwa taarifa tulizo nazo ni kwamba ile sumu ikishaingia kwenye system haiwezi kutoka milele mpaka ikupeleke...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Miezi kama sita iliyopita nili deposit shiling milion moja kwenye account yangu ya hapo CRDB jana nikaenda pale kutaka kuchukua kiasi fulani cha fedha nikaomba bank statement yangu,nikapewa...
0 Reactions
80 Replies
12K Views
kutokana na mauwaji ya juzi Songea police 4 sasa mbaroni kujibu mashitaka ya mauwaji. Chanzo:magazeti ya leo asubuhi.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
habari ya tunduma picha za sumbawanga
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Moja ya sifa kubwa aliyonayp binadamu ni utashi na mojawapo ya sifa ya utashi ni tafakuri na uamuzi....je katika historia ya maisha yako kiongozi gani hutamsahau (kwa mema au mabaya)?na kwa nini?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Farrakhan - "I am to black people what the Pope is to White people" - YouTube
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba wananchi wengi wanaonekana kukata tama na maisha na mzigo mkubwa wa lawama unakwenda kwa watawala, na unapogusa watawala umeigusa CCM, hivyo ni dhahiri CCM inashuka popularity...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NImeona picha michuzi blog...ile ndege anatumia rais kwenda botswana ndiyo ile iliyopigiwa kelele sana kuwa ni ya dharama kubwa sana? Mbona sioni mvuto wake...ina nini cha ajabu? viti vya dhahabu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Salaaam. Hivi kwanini Serikali yetu haiwatumii wanafunzi wa VETA kutengeneza Madawati na samani nyingine za shule zetu mpaka wadogo zetu wanakaa chini? Kweli hata hili tunahitaji wahisani?
0 Reactions
0 Replies
852 Views
PROSTITUTES in Lusaka’s Kanyama, John Laing, Chawama and Kalingalinga compounds last night offered themselves free of charge to every Jim and Jack as part of their celebration after Zambia beat...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Rank Name Religious Affiliation Influence 1 Muhammad Islam Prophet of Islam; conqueror of Arabia; Hart recognized that ranking Muhammad first might be controversial, but felt that, from a...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
nipo nyumbani hapa mitaa ya Wilolesi manispaa ya Iringa kwenye msiba wa Mama Mzazi wa aliyekua katibu mkuu wa Wizara ya Afya
0 Reactions
10 Replies
2K Views
EAR FELLOW tANZANIANS... ni kwa masikitiko sana, na sikupenda tufiko huko..lakini haina budi tumefika....kwani mlala na mbwa siku zote huamka na viroboto... lets talk about Paul...
0 Reactions
2 Replies
977 Views
Raia wawili wa Kichina, Hsui Chintai (63), kushoto, na wakala wake, Zhao Hinqui, wakisindikizwa na askari Magereza kwenye Mahakama Kuu Tanzania jana, baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Unafika kazini asubuhi na mapema unakutana na barua inayosema umefukuzwa kazi! Utafanyaje? (You are fired! What next?)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom