Maalim Seif Unatuangusha. Hata Ndalichako sasa anakushinda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maalim Seif Unatuangusha. Hata Ndalichako sasa anakushinda?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by thatha, Feb 26, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kabala ya kuingia ktk Serekali , mengi ulituahidi, moja kubwa uliotuahidi kwamba utapigania maslahi ya Mzanzibar popote ulipo.
  Lakini Mungu ni mkubwa, anajua kila mtu liliomo moyoni mwake.
  baada ya kukabidhiwa fupa (makamo wa 1 rais) kutembea kwa vingora mambo yamebadilika.
  baraza la Mtihani NECTA tangui lianzishwe halijawahi kufanya unyama huu wa watoto wetu maimia huku Zanzibar huku wao wakiwa ndio chanzo cha kuvuja mitihani yao. nakumbuka bungeni Ndalichakoaliwahi kujadiliwa jinsi baraza lake linavyovujisha mitihani.
  Lakini chini ya utawala wa Maalim seif 9simba wa Vita) haya yanatengeka huku kukiwa na viongozi wakuu wa Cuf ndani ya baraza la mawaziri.
  huko bara mtihani wa std ulipoibiwa na kufutiwa matokeo yao. wanaisiasa walikuja juu. waziri akakataa ****** wa NECTA na kuwarudisha watoto kwenye chumba cha mitihani mwakani. Zanzibar ndalichako anajigamba kwamba hicho kitu hakuna kwa upande wa ZANZIBAR.
  Naamini kama Cuf isingeungana na CCM katika serekali ya umoja wa Kitaifa Ndalichako angalitafuta pakupita. maalim seif ungalipita kila kona na pengine ungaliongeza chumvi ili kulishindikza baraza la mitihani na CCM kupitia upya msimamo wa baraza hilo. lakini sio sasa .
  uko wapi maalim seif?
  Uko wapi uliaodai utatea maslahi ya Mzanzibar popt ulipo?
  uko wapi?
  sasa bado upo?
  Upo na unasimama na kiazazi cha mzanzibar?
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wekeni bidii kwenye masomo! Kulia lia si mwisho wa zero
   
 3. m

  moshingi JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acheni kuiba mitihani, tieni bidii katika masomo kamwe msilete siasa katika ubora wa taaluma.
  Wengi wa Wazanzibari tunaokutana nao vyuoni wapo shallow sana, hadi mtu unajiuliza alifikaje
  hatua yo chuo??? Kwa taarifa yako Mama Ndalichako ni Daktari wa Phd, ni wa ukweli, yupo makini sana...
  Alipoingia NECTA alikuta kichaka cha watumishi waliokuwa wamezowea kufanya biashara ya kuvujisha
  mitihani akakisambaratisha wamebaki kumchukia tuu kwa visingizio mbalimbali...
  Kama hujui wapo wanasiasa wakubwa tuu serikalini, wengine walitajwa na mwanasheria Msemakweli katika
  kijitabu chake cha "mafisadi wa Elimu", wamejaribu mara kadhaa kutaka kumuhonga ili awasafishe na tuhuma
  hizo amewakatalia katakata na amewaambia yupo radhi arejee UDSM kufundisha kuliko kupokea hongo au ahadi ya
  madaraka makubwa zaidi ili kuupindisha ukweli...hii ndiyo sababu ya wale waliodai wamekashifiwa na Msemakweli
  hawajaenda mahakamani kumshitaki...Ninachotaka kukwambia huyo mama huwa hatishwi kirahisi ili kuupindisha
  ukweli...Tatueni tatizo la uduni wa elimu kwani mkiendekeza siasa Wazanzibari mtabaki kuwa wapagazi...Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, Watanganyika na wengineo ndio watachukua ajira zote muhimu kwani sasa soko lipo wazi.
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Usimsumbue Maalim, yupo busy, hawezi kushughulikia upu.mbavu uliousema.
   
 5. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wazanzibari hata kuandika hawajui, sasa hebu angalieni Kiziwi alichopost humu! Sasa mtu kama huyu akifutiwa matokeo si inakuwa nafuu kuliko kama angekuja kuwa mzigo huko mbele ya safari? Halafu haya malalamiko ukayaweke kule mzalendo.net ambako maalim Seif anapita kusoma kidogo
   
 6. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2012
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  taratibu swahib, usitukane wazanzubari wote kwa jambo la mtu mmoja
   
 7. F

  Falconer JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Kiziwi, wewe ni CCM bobea. Wacha fitina zako. Kwani Maalim Seif ana serikali?. Nyie CCM ndio majanga makubwa kwa Zanzibar. Maalim Seif alitoka na mawaziri kuwapeleka India na Scandadinavia na mmoja wao alikuwa ni waziri wa elimu. ALIPOKUWA iNDIA WALITEMBELEA WIZARA KADHA WA KADHAA na mojawapo ilikuwa ni wizara ya elimu na palitiwa mikataba fulani kuhusu elimu. Sielezi sana lakini kabla ya kulaumu, jua unalolilaumu ni jambo gani. Elimu itabadilika tu maana hili la kutegemea NECTA, ni zero na tumeona lilipo tufikisha.
   
 8. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mbona wazanzibari wana idadi kubwa ya maprofesa ikilinganishwa na bara? Hapa tatizo si wazanzibari bali viongozi wao waroho kama Seif Sharriff Hamad ambaye amegeuzwa kimada wa CCM bila hata chembe ya aibu. Amenyolewa madevu na kupendeza kweli kweli. Ama kweli CCM wamejua kuitukana na kuia Zanzibar kwa njia ya aibu.
   
 9. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Nchi ya Zanzibar na vioja vyake.....
   
 10. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Elimu ya chini si mambo ya muungano sasa ilikuaje mkakubali kufanya pepa za Necta,higher education ndo mambo ya muungano,vunjen muungano tumewachoka kama vile mlivyotuchoka!
   
Loading...