Serikali, wabunge na tanesco nani wakulaumiwa!

Makambuya

Member
Dec 6, 2011
45
3
Serikari kupitia wizara ya nishati na madini ilitoa mkakati wa namna yakukabiliana na tatizo la umeme jambo ambalo lilipelekea bunge kupitisha bajeti ya wizara hiyo, na kwa taarifa ya TANESCO ilitìbitisha kwisha kwa tatizo la mgao wa umeme, lakini kihalisia mgao wa umeme bado upo pale pale na unazidi kusìka kasi siku hadi siku, mbaya zaidi unafanyika kimya. mfano mdogo ni kwa baadhi ya maeneo ya Dodoma kukosa umeme zaidi ya masaa 24. je ni nani wakulaumiwa?
 
wakulaumiwa ni hawa.
1. wananchi wanafiki waliomchagua baba riz1 ambaye ndo ameunda serikali
2. wananchi wema na wanafiki ambao hawakushiriki kupiga kura.
 
Back
Top Bottom