Tanga mwenyekiti wa kijiji kapoteza sifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanga mwenyekiti wa kijiji kapoteza sifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by colyvas, Feb 26, 2012.

 1. c

  colyvas Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ssi wakazi wa kijiji cha kichangani kata ya maweni wilaya ya Tanga mwenyekiti wa kijiji amepoteza sifa za uongozi kwa kushindwa kuitisha ya kawaida toka aingie madarakani mwaka 2009
  Tunaomba wanaohusika watusaidie kuondoa kero hii kwani Afisa mtendaji wa kijiji na Mkurugenzi wa Halmashauri wako kimya japo taarifa hizo wanazifahamu
   
 2. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Tumieni nguvu ya umma,nendeni polisi ombeni kibali cha kufanya maandamano ya amani,kama mnaogopa mioneni makamanda wa CDM HAPO Ofisini watawasaidia kuratibu suala hilo.VINGINEVYO TANGA KUNANI?WENYEVITI WA VIJI NAO WASHAKUWA KERO?WATU KEROOOO KEROOO! Baba yetu Makamba
   
Loading...