Wana-JF na waTanzania wote wenye mapenzi mem.
Mimi naona swala la kupiga kelele haitoshi. Kila mtu anaathirika na ufisadi kwa njia moja au nyingine. Hawa mafisadi wanatufanya tushindwe...
"Dk. Slaa (Willibrod – Katibu Mkuu wa Chadema), huwa mnyenyekevu sana kwa Serikali ya CCM.
Juzi hapa alikuwa anaomba kwenda kutibiwa nje ya nchi, alikwenda serikalini kwa unyenyekevu mkubwa...
Raia mmoja wa Uholanzi, Marise Koch, amemfanyia kitendo cha udhalilishaji Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Marera iliyopo kata ya Rhotia Wilayani Karatu mkoani Arusha kwa kumpiga vibao mbele ya...
Redio yao hawaioni hadi wamkamate mtikila? kwanza hii redio juzijuzi si walichanga mipesa ili waanzishe tv?...mipesa imeshaliwa na wajanja?
Mtikila anaswa kesi ya kumwita JK gaidi
na...
!!watanzania tulikuwa ma bogasi kweli mpaka mtu aakalazwe ujermani ndio watu wanakimbilia kupiga kelele nimekaa nikajiuliza baada ya makeelele mengi kwamba mkapa alipigwa na mkewe ndio maana...
Kila siku nikirudi nyumbani naambiwa umeme haujawaka mchana kutwa. Utawashwa jioni kwa muda mfupi then unakatwa na kuwashwa tena usiku mwingi.
Kama kuna mgao kwanini tanesko hawatoi taarifa basi!
Wiki iliyopita nilikutana na kitabu kimeandikwa Sitasahau Mv.Bukoba hapa katika maktaba ya chuo(UDSM) mwanzoni nilifikiri ni kama vitabu vya shigongo.nikapata mstuko kidogo,shigongo na maktaba ya...
Wakubwa wa Jamvini, heshima kwenu.
Siku zote nimekuwa nikihitaji kupakua nyimbo zilizo kwenye internet hasa zilizo kwenye Yu tube. Sijafaulu hadi sasa nnapoomba msaada kwenu wazoefu. Simu yangu...
Kwa wana JF anayefahamu hili la mtandao wa simu wa tiGO kutoza TZs 34/= kila siku kutoka katika salio langu bila sababu, kwani mimi si mtumiaji sana kupigia mtandao huo kutokana na watumiaji wengi...
Wakuu naomba msaada nipo dar natarajia kununua simu aina ya blackberry genuine from America( sio under licence) nasikia kuna maduka ya simu hapa yanauza blackberries lakini si genuine sasa...
Jamani niko safarini kutoka Shy kwenda Mby kupitia Nzega,Tbr, nk. Hii bac nnayo safiri nayo imejaza abiria hadi wengine wamesimama. Sasa shida iko hapa.., kuna jamaa kasimama karibu nami hapa...
9 Things that will Disappear in our Lifetime...
Whether these changes are good or bad depends in part on how we adapt to
them. But, ready or not, here they come.
1. The Post Office:
Get ready...
Members mnaoishi Kigamboni naomba tusaidiane/ tushauriane jinsi ya kuboresha huduma za vivuko vyetu hasa upande wa taarifa. Leo asubuhi, kivuko kidogo cha Mv Kigamboni kilikuwa kimepark na Mv...
Hivi tunawezaje kuishi kwa matumizi yafuatayo kila mwezi?
Fikiri matumizi nyumbani: chakula, umeme, gesi, maji, soda/juisi za wageni. Ada za watoto zinazolingana na za chuo kikuu.
Matibabu...
Hivi karibuni watu wengi wamekuwa na maaswali yasio kuwa naa majibu baada yakuona wanaambiwa kuleta taarifa zao upya. Nilazima mimi na wewe tujuwe kwanini huu mpango umekuja kwa nguvu na nini...
Vile viwanja vilivyogaiwa kwa waathirika wa mafuriko ya Jangwani na sehemu nyinginezo za Dar vimeanza kuuzwa,JF imebaini.Wauzaji hao ni wajanjawajanja.Huuza bila kuandikishiana na mnunuzi mbele ya...
Kura yangu itakwenda kwa mwanasiasa yoyote mwenye chama cha siasa au asiye kuwa na chama cha siasa atakaye nihakikishia kuwa mara baada ya kupata Uraisi atakuwa tayari kurudisha Azimio la Arusha...
Bonny MWAITEGE kweli ni noma sasa naanza kutafakari kwa makini sana wimbo wake wa "UTANITAMBUJAE KWAMBA NIMEOKOKA"
Hakika wimbo huu pia tunaweza kuutambua kwa jina "UTANITAMBUAJE KWAMBA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.