Utanitambuaje kwamba sijasoma? Matendo-Bonny Mwaitege

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Bonny MWAITEGE kweli ni noma sasa naanza kutafakari kwa makini sana wimbo wake wa "UTANITAMBUJAE KWAMBA NIMEOKOKA"

Hakika wimbo huu pia tunaweza kuutambua kwa jina "UTANITAMBUAJE KWAMBA SIJASOMA", ambapo majibu ya majina yote hayo ni tu nalo ni "MATENDO" jana kuna jamaa mmoja katuwekea CV mhehimiwa Mbunge wa Musoma Mjini, leo kuna thread ya "ELIMU YA LEMA utata mtupu" na kweli nimejaribu kutembelea tovuti ya bunge kujiridhisha nikaona ni kweli ni utata mtupu.
Mtanisamehe naomba nimuunagnishe Mbunge wa Mbeya Mjini. Kwa kweli Matendo yao ni tafsiri tosha ya viwango vyao vya elimu. Kwa hiyo Mbwembwe zao zote ni kujaribu kutetea kuendelea kuwepo ndani ya vijana Wasomi wa CHADEMA.
 
Mkuu, ni vyema pia ukitilia maanani mambo haya
1. Taarifa za wasifu wa wabunge zilizopo bungeni si reliable kwa asilimia mia
2. Kama kigezo cha uongozi, ni elimu (sijui ya juu) basi wenye matatizo si viongozi wetu bali sheria zetu zinazoruhusu hata wahitimu wa darasa la saba kuwa viongozi
3. Sio watu wote waliosoma wameelimika, hivyo kiongozi mzuri hapaswi kupimwa kwa wingi wa vyeti vyake
 
matendo pia yanakuweka kwenye hilo kundi, utata upi huo usioandikika?
 
Wasiosoma wapo chadema tu? Utafiti wako mbona hauzingatii wabunge wote wa tz?
Serikali yetu imejaa wasomi! Wamefanya nini? Si ujinga tu! Huku ndiko kuishiwa hoja na kuanza kutilia mashaka maamuzi ya wa-arusha 40000 waliosema "ndiyo" kwa lema. Au wana-mbeya 40000 waliosema "yes" kwa sugu, chunga sana usiwapuuze waliompa kura za kutosha vincent awe mbunge wao.
Unadhani watanzania hawa hawajui kuwa elimu ni muhimu? Mkapa ana degree kadhaa, kakusaidia nini wewe kama mtanzania zaidi ya kujimilikisha mali za walalahoi wa tanzania na kuwauzia wazungu nchi yetu? Tafakari!!! Acha ushambenga!!!
 
Wasomi ndio waliotufikisha hapa,ebu niambie nyuzi ya uchumi ya jeikei inatusaidia nini kama taifa?
 
Mkuu, ni vyema pia ukitilia maanani mambo haya
1. Taarifa za wasifu wa wabunge zilizopo bungeni si reliable kwa asilimia mia
2. Kama kigezo cha uongozi, ni elimu (sijui ya juu) basi wenye matatizo si viongozi wetu bali sheria zetu zinazoruhusu hata wahitimu wa darasa la saba kuwa viongozi
3. Sio watu wote waliosoma wameelimika, hivyo kiongozi mzuri hapaswi kupimwa kwa wingi wa vyeti vyake

Mapenzi ya CDM yanawatia upofu wengi sana.
 
Back
Top Bottom