Mabwepande hakukaliki, viwanja sokoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabwepande hakukaliki, viwanja sokoni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Mar 14, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Vile viwanja vilivyogaiwa kwa waathirika wa mafuriko ya Jangwani na sehemu nyinginezo za Dar vimeanza kuuzwa,JF imebaini.Wauzaji hao ni wajanjawajanja.Huuza bila kuandikishiana na mnunuzi mbele ya Serikali bali binafsi tu.Muuzaji huandikishiana Mkataba wa mauzo na Mnunuzi na kushuhudiwa na Wakili tu.

  Sababu inayoelezwa kusababisha mauzo ya viwanja hivyo ni kuwa Mabwepande hakukaliki.Waliopewa viwanja wamesahaulika kabisa.Hakuna miundombinu yoyote inayovutia.Kwa watu wa hali ya chini kuuza ni bora zaidi.Ni aheri kupanga.Serikali inapigwa chenga ya mwili.Mwenye masikio na asikie...
   
 2. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ngoja niwahi plot!
   
 3. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  kama una mkwanja ni kuwahi plot mapema maana zishapimwa hizi.
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,106
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Zinaendaje kwa Bei??
   
 5. M

  Makupa JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  20m na kundelea
   
 6. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...100%
  Network Connected !

  Good !
   
 7. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Viongozi wa Serikali za Mtaa wameanza kushirikishwa kwenye mauzo
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Du serikali bwana haaaaaaaaaa safi sana hao wakazi wa mabwepande kwa kuuza sema nawashauri hizo 20m wakanunue sehemu nyingine hata 20m*20m wajenge kibanda!!!
   
Loading...