Mtikila anaswa kesi ya kumwita JK gaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtikila anaswa kesi ya kumwita JK gaidi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by John W. Mlacha, Mar 15, 2012.

 1. J

  John W. Mlacha Verified User

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Redio yao hawaioni hadi wamkamate mtikila? kwanza hii redio juzijuzi si walichanga mipesa ili waanzishe tv?...mipesa imeshaliwa na wajanja?
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mtikila anapenda kuwa mahakamani akiamini anajijengea umaarufu. Ingepasa atambue kwamba wakati wake ulikwishapita, hautarudi.
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kikwete inabidi aingizwe kwenye kitabu cha GUINNESS kwa kuwa rais mwenye UDINI ZAIDI duniani!
   
 4. M

  Mringo JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 23, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ............................................................................................................................................
  Lakini hii TV yao ipo hewani na hata asubuhi hii wakati napitia channels nimeiona...sema tu hawajaiweka ktk analogi..
   
 5. J

  John W. Mlacha Verified User

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  good work ila inabidi wawe wanatangaza mambo ya muhimu na sio kulalama kila siku kuwa wameonewa/wanaonewa
   
 6. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wewe ndiye mdini mkubwa. Usitake kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio kumbe wewe una boriti.
   
 7. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa badala ya kukaa kanisani kuhubiri mambo mema, yeye amejilimbikizia mikesi tu. Saa zote anashinda Mahakamani.
   
 8. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Poa bwana na Serikali nayo inakesi ya kujibu juu ya Mgombe Binafs au huru aliyoifungua Mtikila
   
 9. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  akisave hii nitaandika kitabu cha Lonely Dog..kashinda kesi kibao zakatiba na hizi za kizushi.Iam proud of him ingawa simkubali ktk mambo mengine.
   
Loading...