Sitasahau MV. Bukoba kitabu kinachouponda utawala wa Mkapa

Kimeo

Member
May 19, 2009
77
11
Wiki iliyopita nilikutana na kitabu kimeandikwa Sitasahau Mv.Bukoba hapa katika maktaba ya chuo(UDSM) mwanzoni nilifikiri ni kama vitabu vya shigongo.nikapata mstuko kidogo,shigongo na maktaba ya chuo kikuu wapi na wapi.anyway nikadhani labda wanakifanyia utafiti.

Anyway nikakichukua nakuanza kukisoma.mungu wangu!niliyoyakuta mle ndani ni tofauti ni mtizamo wangu wa awali,kumbei madongo kwa utwala wa mkapa kwa namna walivyo chemka katika kushughulikia ajali ya mv.bukoba na ufisadi uiombatana na ile ajali,kimsingi kitabu hiki kinasikitisha na kuamsha madonda hasa kwetu sie tunaotokea kagera.kinaliza,kinachekesha na kutekenya bongo zetu,nakugundua pia miongoni ya watu wallondika utangulizi ni Prof.Haroub Othman,mwalimu wangu makini.

sina hakika kama mwandishi wa kitabu hiki alikitoa kipindi mkapa yupo madarakani,kama alikitoa wakati huo basi sasahivi atakua ni mkimbizi ama hatunae tena duniani.

Kumbe ufisadi haukuanza leo,kama ofisi ya waziri mkuu inaweza ikamlipa mtu kama vile amefariki na kumbe yupo hai,inasikitisha,kuna double payment nyingi sana kumbe zilifanyika,shemeji yangu wa kanyigo alilipwa kama alienusurika,lakini jina lake likaonekana limelipwa tena kama marehemu!mh,hiki kitabu kimeniamsha
 
naomba unipe details zake nikitafute madukani kama kipo. nakihitaji sana.
 
Da itabidi nikitafute hicho kitabu nakumbuka mara ya mwisho nilimsikia yule jamaa aliandika kitabu anahojiwa na kibonde na gadner kwenye jahazi nafikiri ilikua btn July----Nov 2010
 
hayo ni kati ya mauaji aliyofanya ben mkapa,
nililia sana wakati wa ile meli. R.I.P. all.
 
Nilikua mdogo ila msiba ulinigusa sana,Bukoba ilikua majonzi matupu..tukachula muno twatongya..da!
 
Nilikua mdogo ila msiba ulinigusa sana,Bukoba ilikua majonzi matupu..tukachula muno twatongya..da!

elimu yetu ingekua sio ya shule za kata,hiki kitabu kinasifa kabisa ya kuingizwa katika mitaala yetu ya elimu na hasa kidato cha nne ama cha tano na sita,kuliko kumezeshwa hadithi za kufikirika ilhali tunacho kisa cha kweli chenye maudhui ya kitanzania.
 
Back
Top Bottom