Nimekuwa msomaji wa muda mrefu wa hili gazeti. Baada ya kuona kuwa siku hizi limekuwa gazeti la magamba, basi nimeona sina haja ya kununua propaganda. Mimi mwenyewe naweza kufikiria bila ya...
Kuna tetesi Kwamba Saed Kubenea wa mwanahalisi yupo London kwa matibabu na hali yake ni ya wasiwasi.
Inasemekana amelazwa katika hospital moja inayojulikana kama ni The Royal London Hospital huko...
leo wamesoma magazeti mawili tu ya uhuru na habari leo wakati walikuwa na magazeti yote kisa chadema imeanika uporaji wa mkapa na magazeti yote yameandika. Mjue mmepoteza fedha za umma kununua...
Wakati Mengi na wenzake wanasema wametunukiwa Degree halali za Heshima na JBI TCU kwa kutumia gazeti lake mwenyewe Mengi "NIPASHE" la jana ilikanusha kutambua PhD hizo kwa tamko kali na leo...
Wametutaka tu update taarifa za akaunti zetu za benki. Leo nikaamua kuanza hilo zoezi kwa akaunti zangu zote tatu. Cha kustaabisha benki zote tatu zinahitaji taarifa zinazofanana kwa kutumia fomu...
Leo nimeangalia tv ccm, naibu waziri wa elimu amesema kuwa watoto wanaomaliza hawajui kusoma na kuandika kwa sababu walimu wanakunywa pombe.Mimi kwa point hiyo hajanishawishi hata kidogo wana...
Mtandao wa facebook unatumika sana duniani kwa kila suala, kuanzia siasa, michezo, sanaa, afya, elimu na kadhalika, na kila kitu cha kufikirika basi kina special page ambayo utakuta fans wake...
Kuna mkandarasi mjinga anachimba kifusi pembeni ya barabara ya Moro-Iringa karibu na makutano ya barabara ya Iringa na Mazimbu. Manispaa Moro wanaona, TANROAD wapo, hakuna hata Mita tano toka...
Mgombea udiwani kwa tiketi ya CCM kata ya Kirumba bwana Jack Masamaki akutwa na wafuasi wa CHADEMA akitoa rushwa maeneo ya Kigoto-kirumba,na huu ndo mtaa anaotoka mgombea udiwani kwa tiketi ya...
ajali mbaya imetokea Mkoani kilimanjaro mitaa ya maili sita na bado haijajulikana ni idadi ya watu wangapi waliokufa ila inasikitisha.Ntawaletea habari kamili muda mfupi ujao.Barabara ni Arusha to...
JK katika 'mhadhara' wake kwa 'wazee' amedai kuwa hali ya afya si mbaya nchini na serikali imejitahidi sana kuboresha na mabo ni mazuri, ndo najiuliza
Ina maana madaktari walikuwa wanadai uongo...
Nimeona Video hii kwenye mkutano wa Mtumishi wa Mungu TB Joshua. Nikasikitika sna kuona kama mtu akipewa sumu anaweza kuwa hivyo halafu akapona. Nimempa Mungu utukufu kwa kumponya huyu dada...
Shame shame shame on you airtell
niliwahi kuandika hapa thread ya watanzania mnaibiwa na mitandao msikimbilie hizi takataka
zinaitwa ati shindano ...shindano la....uhuni mtupu..kuna mtu aliipgiwa...
Ile habari iliyopewa nafasi kubwa katika vyombo vya habari kuwa kuna mashine ya kuinua matiti yaliyolala,imekanushwa na wamiliki wa kituo kinachohusika kuwa haiinui matiti yaliyolala bali ni kwa...
Habari wadau, samahani naomba mnisaidie kwa hili kwa wanaojua ama kama kuna aliyewahi kushiriki.
Mwaka 2008, kulikuwa na show moja ya TV apprentice Africa, niliipenda sana hiyo show na nilitamani...
Rais wangu mpendwa, waliokushauri kulihutubia taifa kwa gia ya kuzungumza na wazee wamekudanganya. Suala la Ma- dkt si suala la wewe kwenda kuhutubia wahuni wanaoshangilia kwa kuwaita kuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.