Hivi kwa nini ex presidaa mkapa alitembea na fimbo nusu mwaka bila kutueleza sababu watanzania

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
!!watanzania tulikuwa ma bogasi kweli mpaka mtu aakalazwe ujermani ndio watu wanakimbilia kupiga kelele nimekaa nikajiuliza baada ya makeelele mengi kwamba mkapa alipigwa na mkewe ndio maana akatembea na fimbo nusu mwaka na akuwaambia watanzania alikuwa amefanyaje mpaka yakamkuta je kuna mwenye uhakika jamani ..namwona huku arumeru kama anakakitambaa fulani keupe mkononi mara moja moja nikahisi maza ameshamtengua tena nini...hope hana tabia ya kupiga ile sehemu muhimu
 
Amenenepa Kama nguruwe wa masista!!
Mwambieni miguu inashindwa kubeba mwili Kama Komba

MPWA WACHA HIYOOO KALE KADUBWASHAAAAAAAA KANARUDIGI NDAnI KANAKUWA KAMA CHA MTOTO NCHANGA ANAKUWA AMPI MAMA YETU HAKI YAKE SABABU YA KUUJIACHIA
 
awaelezee ili iweje?
Au angewaeleza mngeongezeka au kupungu nini?
Vile ambavyo hakuwaelezea imewaathiri vipi?
Au iliathiri vipi utendaji? Kama iliathiri kivipi mpaka muelezewe?

Watz bwana, badala ya kutaka maelezo ya mikataba mibovu ya madini au ubinafsishaji mnataka maelezo ya kutembea na fimbo!!!!!!
 
kama alivyoumbuka kuingilia familia ya mw nyerere umesoma mwancchi leo lakini kamsaidie ndugu yako ameaibika mbaya
 
Back
Top Bottom