Dr.Slaa Mgonjwa?

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
"Dk. Slaa (Willibrod – Katibu Mkuu wa Chadema), huwa mnyenyekevu sana kwa Serikali ya CCM.
Juzi hapa alikuwa anaomba kwenda kutibiwa nje ya nchi, alikwenda serikalini kwa unyenyekevu mkubwa sana," alisema Nchemba wakati akihutubia mkutano wa kampeni katika Kata ya Mbuguni jana.

Siku Prof.Lipumba anarudi toka marekani,Dr.Slaa alikuwa anarudi pia toka anakojua mwenyewe.
Kuna uhusiano wowote kati ya maneno ya Nchemba na Safari ya Dr.Slaa?
Kwamba kafulia kiasi kwamba anaomba kutibiwa na serikali?
Mara nyingi safari zake za nje huwa anatoa taarifa,kwanini hii ilikuwa kimya kimya?

Dr.Slaa,toa ufafanuzi.
 
Hiyo Mwigulu alikuwa akisema uongo kwenye kampeni Arumeru mashariki.

Siku Prof.Lipumba anarudi toka marekani,Dr.Slaa alikuwa anarudi pia toka anakojua mwenyewe.
Kuna uhusiano wowote kati ya maneno ya Nchemba na Safari ya Dr.Slaa?
Kwamba kafulia kiasi kwamba anaomba kutibiwa na serikali?
Mara nyingi safari zake za nje huwa anatoa taarifa,kwanini hii ilikuwa kimya kimya?

Dr.Slaa,toa ufafanuzi.
 
Siku Prof.Lipumba anarudi toka marekani,Dr.Slaa alikuwa anarudi pia toka anakojua mwenyewe.
Kuna uhusiano wowote kati ya maneno ya Nchemba na Safari ya Dr.Slaa?
Kwamba kafulia kiasi kwamba anaomba kutibiwa na serikali?
Mara nyingi safari zake za nje huwa anatoa taarifa,kwanini hii ilikuwa kimya kimya?

Dr.Slaa,toa ufafanuzi.

Alishaeleza kwa utamu kabisa alikuwa wapi na kufanya nini na ilikuwaje akarudi siku ambayo Prof alikuwa pia anarudi. Do your homework kabla ya kupost craps zako.
 
Hii nchi sasa imekwisha. kama kampeni zenyewe ndo yanazungumzwa mambo haya, kwa kweli hatuna viongozi, hatuna vyama, wala hatuna sera za kutupeleka kwenye neema
 
Siku Prof.Lipumba anarudi toka marekani,Dr.Slaa alikuwa anarudi pia toka anakojua mwenyewe.
Kuna uhusiano wowote kati ya maneno ya Nchemba na Safari ya Dr.Slaa?
Kwamba kafulia kiasi kwamba anaomba kutibiwa na serikali?
Mara nyingi safari zake za nje huwa anatoa taarifa,kwanini hii ilikuwa kimya kimya?

Dr.Slaa,toa ufafanuzi.

Hivi kutibiwa ni aghali kiasi cha Dr Slaa kuomba msaada Serikalini???? Kumbe mimi nipo juu sana, huwa naugua na sijawahi kuomba msaada hata wa balozi wa nyumba kumi.
 
Alishaeleza kwa utamu kabisa alikuwa wapi na kufanya nini na ilikuwaje akarudi siku ambayo Prof alikuwa pia anarudi. Do your homework kabla ya kupost craps zako.

Ezan say Thanks to Chintu for this useful post
 
Jamani jamani kumbe huko serikalini kuna matibabu siku hizi? mi najua matibabu yanatolewa hospitalini
 
Siku Prof.Lipumba anarudi toka marekani,Dr.Slaa alikuwa anarudi pia toka anakojua mwenyewe.
Kuna uhusiano wowote kati ya maneno ya Nchemba na Safari ya Dr.Slaa?
Kwamba kafulia kiasi kwamba anaomba kutibiwa na serikali?
Mara nyingi safari zake za nje huwa anatoa taarifa,kwanini hii ilikuwa kimya kimya?

Dr.Slaa,toa ufafanuzi.
Yale mafua yako ya ndege ulishapona?
 
Huyu Nchemba bwegez kabisa.Yaani yeye hajui kwamba wanaolipia tiba za nje ni walipa kodi na sio CCM?
 
Kwani walitaka awafuate kwa maandamano? kama siyo kukosa cha kuongea huko majukwaani?
 
Nchemba assume pia yule aliyemlia mkewe kule Tabora alienda kutibiwa wapi.
Hivi haya majukumu ya kusema Fulani anaumwa na nini sijui mmepewa na nani. Hebu kuweni na staha na semi zenu. Nchemba akiambiwa atoe ishahidi atabaki kuwa kimya Kama yule jamaa yangu Manamba
 
Alishaeleza kwa utamu kabisa alikuwa wapi na kufanya nini na ilikuwaje akarudi siku ambayo Prof alikuwa pia anarudi. Do your homework kabla ya kupost craps zako.

You've just validated the statement.
smart people.jpg
 
Dr Slaa ni binadamu na wala si Mungu hata asiugue.

Tatizo sio kuugua,tatizo ni kwanini aombe msaada serikalini kwenda kutibiwa?
Ni kwamba kafulia au?
Kwanini msimchangie wana JF maana ni "mungu" hapa,hatakiwi kuongelewa.
 
Back
Top Bottom