Inasikitisha sana tangu tigo ianze kuwa na matatizo ya netweork uaminfu kwenye ndoa umeanza kuwa mchache hata kwa wale waliokuwa na uaminfu ndani ya miaka 4..inashangaza kuona jamani mke anatuma...
Hatimaye jibu la kilio cha muda mrefu cha wafanyakazi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania limepatikana. Ilikuwa ijumaa siku ambayo wengi wao hawakutegemea kuwa hayawi hayawi YAMEKUWA...
Nimesikiliza matangazo mengi ya kibiashara ktk radio ,tv, wanatumia lafudhi ya hawa wachaga..... (Mara chache wakurya wasukuma na wazenj)hivi makabila mengine kwenye matangazo lafudhi zake hazina...
Ndugu, mimi huwa natembea usiku kutokana na majukumu yangu binafsi. Nataka kupata AK 47 kwa sababu maadui wanaweza kuja na silaha nzito. Mimi najali sana uhai wangu naomba anayejua utaratibu wa...
TBC anzisheni CHANNEL YA TBC BUNGE [ yaani mambo ya bunge tu mwanzo mwisho, zaidi ya hapo majimboni, vikao vya kamati za bunge kama hakuna BUNGE? ]
Mbona channel za MUZIKI wanaweza hali...
Salaam zenu wana jf
Nimeona nipite huku leo ili tuliangalieni suala hili limekaaje.
Hapa namaanisha issues kama zile za akina ‘First Lady' (Mama Salma), First son/Daughter...
Wanabodi!
Nimeona tangazo hili gazeti la mwananchi nikaona si vibaya ambao hawajasoma wakaona jinsi mzalendo huyu alivyo amua kutumia utajiri wake kwaajili ya wengine pia.(nime type mwenyewe...
Juzi tulishuhudia mgomo wa madakitari ulivyotikisa nchi na ndugu zetu wakafa kwa sababu ya mgomo!!mgomo uliochukua jumla wiki mbili za kwanza na wiki moja ya mwisho!
Nikweli kama auna huruma...
Iv Tanzania tunaelekea wp! kama hata siasa zetu wenyewe zinatushinda? Majukwaa ya siasa sasa yamekuwa ni sehem za watu kueleza tofauti zao. Mi nadhan wanachi wanahitaji kusikiliza sera zaid ya...
Ndugu wana JF,
inavyo onekana ni watu wa karibu wanamtumia binti huyu kunichafua kwa sms za kashfa,matusi.nimefanikiwa kumjua ni nani,anabip muda wote ni siku ya 3 sasa
Sipendi kesi ni kama...
Hii sijui imekaaje. Utakuta maji hayatoki kwa siku kadhaa na mamlaka husika haisemi kitu. Tamko hutoka baada ya malalamiko ya watumiaji kunadiwa kwenye vyombo vya habari. Huu mtindo umekuwa ni...
Wana jamii F nimesikitishwa sana na malumbano yanayoendelea na kuripotiwa na vyombo vya habari, nini kifanyike ili kuepusha/kusitisha malumbano yanayoendelea?
Ukimwona huwezi kumdhani, ukiambiwa harakati zake unaweza kuzirai, kwa maana ni kama mtu huyu amefunga kamera hadi ikulu, ni mwanamapinduzi ambaye CCM na serikali ya JK wameshindwa kuzima harakati...
Wakuu habari za wikiendi natumai kama sio mimi tu na wewe unakumbana na adha hii ya mgao wa umeme kwa takribani wiki moja sasa mgao unaanza saa kumi alfajiri hadi saa saba mchana bila ya taarifa...
Inakwenda wiki ya pili sasa mgao bubu wa umeme umeshika kasi na sasa umefikia kuhatarisha mitaji ya watu na usalama wa nyumba zao. Mhishimiwa Mkuu wa Kaya amezua tabia ya kukusanya wacheza bao wa...
Hivi clouds kwa nn unampa mic huyu jamaa, jioni kwenye Jahazi anasema' mara baada ya Lowassa kuwasiri Kibonde anadai waandishi wea redio ikiwemo ya clouds walimfuata mwenyewe Airport bila kuitwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.