kutokomeza mafisadi

collezione

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
352
178
Wana-JF na waTanzania wote wenye mapenzi mem.

Mimi naona swala la kupiga kelele haitoshi. Kila mtu anaathirika na ufisadi kwa njia moja au nyingine. Hawa mafisadi wanatufanya tushindwe kufirahia maisha tukiwa nchini kwetu. Ufisadi unatufanya hali ya maisha inakua ngumu. Kila siku afadhali ya jana. Na kila mtu analijua hili,(bila unafiki)

Mafisadi wana-nguvu kuliko shetani. Mafisadi wanapanga nani auwawe hapa Tanzania. Viongozi wetu mashahuri kina Dr mwakyembe afya zao, Ziko mikononi mwa mafisadi. "Hawa watu ni kitu gani mpaka watupande kichwani kiasi hiki".

Jamani waTanzania na sisi tuanze kuwa_angamiza hawa mafisadi. Maneno peke yake hayatoshi. Fisadi mmoja ni sawa na majambazi (laki moja). Sasa kwanini hatuwachomi moto???

Ile list ya mafisadi 10 inajulikana. Tuanze kupiga mawe mmoja mmoja. Wewe kama uko jirani ya mmoja wao. Tupe details.

Wananchi milioni 40 hatuwezi kushindwa hawa watu 10.
 
Back
Top Bottom